Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Mkuu shida tuliyonayo ni moja tu!
Ni kutokuwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Maana hii ambayo tumeambiwa ni Tume huru ni Tume ya Mama ya kumsaidia kubaki hadi 2030!
Kama Uchaguzi ungekuwa huru wananchi wangeamua kwenye Sanduku la Kura.
Nje ya hapo hata ungetoa ushauri gani au hata washauri wa mama wangemwambia Ukweli au Uongo haisaidii.
 
'MIMI NI...'
Unajiona nani ndani ya taifa hili, ndugu?

Njaa tu!
Moja ya udhaifu mkubwa sana wa Watanzania, ni kutojitambua, kwa wao ni wananchi wa kawaida, wanajiona they are nothing!, kumbe hawajitambui kuwa mwananchi ndie the most important and valuable asset kwenye nchi, huyu ndiye mwenye nchi, ndiye mwenye katiba!. Rais wa nchi, na mihimili yae ya Serikali, Bunge na Mahakama, wote hawa ni watumishi wa kumtumikia mwananchi, na ni mwananchi amemuajiri Rais wa nchi kwa kura yake, na ndiye anayemlipa mshahara wake kwa kodi yake, hivyo usinidgharau kabisa mimi mwananchi wa kawaida, nina uwezo wa kumtuma chochote muajiriwa wangu, na akiharibu kazi, nina uwezo wa kumfuta kazi!. The real powers lies with the people!, ila masikini Watanzania wengi hawajitambui nguvu yao na hawajui powers zao!. Mimi najitambua na kila uchao, nashauri, na kwa taarifa yako, tunasikilizwa sana tuu!.

Kufuatia kulijua hili, na mimi nimejaaliwa kauwezo kidogo ka kutoa elimu kwa umma, kuwasaidia Watanzania wenzangu, nimejitolea kuwasaidia kuijua katiba yaa, kuujua uwezo wao, kuzijua haki zao, na kutimiza wajibu wao, kupitia makala maalum za magazeti ya Mwananchi kila Jumatano, Nipashe kila Jumapili na kipindi cha TV kila Jumapili
Na sasa tunamsaidia
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04Karibu na wewe tukusaidie kujitambua sio unapelekwa pelekwa kama ling'ombe
P
 
Uwe unavuta bangi isiyokuwa na mbegu
 
Unajipendekeza kishamba sana na bahati mbaya una gundu. Hopeless!
Tangu mwanzo nimesema hili sio bandiko la kila mtu, ni la watu maalum tuu wenye viwango fulani vya uelewa, kama unadhani bandiko hili ni la uchawa, inamaana bandiko hili limekuzidi kimo, umetoka kapa!.
Pole.
P
 
Walimu wa siasa wanaowafundisha viongozi wetu Wana roho ngumu sana aiseh!!
Baada ya Chuo cha Chama Kivukoni kuchukukuliwa na serikali, viongozi wetu wamekuwa hawapikwi kisiasa, upishi ndio umeanza upya sasa pale Kibaha.
Nataka niwashauri kwenye mtaala waweke topic ya karma ili kuzuia wasiliwe vichwa!.
P
 
Tangu mwanzo nimesema hili sio bandiko la kila mtu, ni la watu maalum tuu wenye viwango fulani vya uelewa, kama unadhani bandiko hili ni la uchawa, inamaana bandiko hili limekuzidi kimo, umetoka kapa!.
Pole.
P
Kwanza, hiyo fallacy ya kusema 'andiko si la kila mtu' hutumiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja.
Pili, kama nilivyokueleza awali, hoja zako za MIMI NI, MIMI NI, hiyo ni mental disorder unayohitaji kuitafutia tiba.

Uchawa wako hauhitaji jicho la tatu kuung'amua. Hata mtoto wa chekechea atajua wewe mnafiki, na unajikomba ili upate teuzi tu.

Msomi hopeless wewe!
Na watu wa aina yako ndiyo mnaizamisha nchi yetu!
 
Tatizo hujaelewa muktadha katika hoja yako mwenyewe.
U- MIMI unaozungumzia hapa na ulioutumia katika andiko lako, ni vitu tofauti.
Unatajataja mimi, mimi sababu unataka mamlaka za uteuzi zikuzingatie. Na hicho ndicho ninachokueleza kuwa ni mental disorder!

Wasisitize vijana wako watafute mali wangali na nguvu ili wasije wakaishi kama wewe kama muda wao wa magharibi.

Kujikweza tu!
 
Uanauke wake unatusaidia nini, tunahitaji mtu yeyote mwenye kudeliver regardless ni mwanamke au ni mwanamme msukuma au Mndali, Muislam au mkristo au asiye na dini
Huyu Pasko ana-play gender card ili aonekane mtu anayejali mambo hayo. Kimsingi anajikosha tu.
 
labda giza kwa maana ya kidini lakini kwa lugha za kidunia umeme umeshaanza kutengamaa. SSH anafanya mengi mazuri huko mikoani kwa ujumla lakini asijiamini sana, hakuna ajuaye kesho inafanana vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…