Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Kaka Mayala salam, nimesoma andiko lako na nimekuelewa, mimi binafsi nina swali je ni nini kusudio la kila aliyemadarakani ? nafikili tunajibu sawa ni kwamba kurudi tena kwa kipindi chake lakini pia kwa mujibu wa taratibu za chama chake yeye ndio anapwa kumalizia awamu yake so kwa hile kauli aliyoisema mimi sijaona kosa mpaka wewe mishipa ikakutoka namna hiyo. hili la kusema wanawake 2025 ndio muda wao mimi nakuunga mkono kabisa hu ndio muda wa wanawake so ni jambo la kuungwa mkono
= nafikiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kama kuna kabila ambalo linajifanya haikubali kutawaliwa na mwanamke basi ya kwanza ni Wasukuma, wamezowea wao kupigiwa magoti na wanawake.

Haiwaingii akilini hata chembe kuwa mwanamke anaweza kuwaongoza.

Ni ujinga wa asili walionao.

Sasa ujinga wao unafika mbali, kuwa mwanamke anaweza kuongoza kichawi tu.
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, ambao hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimewasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu kusaidia taifa langu.

Kwa upande wa CCM nimeeashauri katika bandiko la sauti HII

Na kwa upinzani pia nimewashauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Kauli hiyo inaonyesha Rais Samia tayari ameisha hakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 rais ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari tunaye, yupo na ameisha chaguliwa, (amechaguliwa na nani?), hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT kwa uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua rais bali kutimiza tuu takwa la kikatiba la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano hata kama uchaguzi huo sio uchaguzi, bali ni igizo tuu la uchaguzi kumthibisha tuu rais aliyepo!. Swali kama hili pia nililiuliza kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Tena nimewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, wanawake ndio wapambane, maana jibaba dume la shoka kushindwa na mwanamke, si ni itakuwa ni aibu sana?. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Hamumpendi Lissu ni yeye tu aliyebaki kulikomboa Taifa.

Mungu azidi kukutunza Lissu. This time around lipo jambo na jambo litatambua jambo…

Tuombeane uzima

Ni muda mfupi sana uliobaki lakini ushindi dhidi ya dhuluma unafiki usaliti unyang’anyi ubabe karibu kunakucha…
 
Kama kuna kabila ambayoiinajifanya haikubali kutawaliwa na mwanamke basi ya kwanza ni Wasukuma, wamezowea wao kupigiwa magoti na wanawake.

Haiwaingii akilini hata chembe kuwa mwanamke anaweza kuwaongoza.

Ni ujinga wa asili walionao.

Sasa ujinga wao unafika mbali, kuwa mwanamke anaweza kuongoza kichawi tu.
Hata waislamu,hususan waarabu,hawaamini katika kutawaliwa na mwanamke.
 
Aya mtaalam. 😁😁
Kwanini mimi ndie niitwe kuthibitisha kitu nilichosikia badala ya kumuuliza aliyetamka alimaanisha nini?. Mtu atoe tamko, anayeripoti kuhusu hilo tamko ndie ahojiwe badala ya aliyetamka!.

Hata issue ya zile pyu pyu za yule jamaa yetu, kuna mtu alitamka kitu hadharani kuhusu vita vya kiuchumi, na akamtaja mtu not expressly but impliedly, huyu aliyetajwa, zikamshukia pyu pyu za kutosha, niliposhauri aliyetoa kauli ile ahojiwe alimaanisha nini, niliambiwa nitahojiwa mimi! Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Kinga ni ya kutokushitakiwa!, hakuna kinga ya kuhojiwa!.
P
Nilikuwa nataka tu kutoa angalizo
 
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.

Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly

Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu ina maana kubwa sana kwa uchaguzi wa 2025 tuu, bali ni kauli ya uthibitisho bado kuna wasaidizi wa rais, ambao hawamwambii Rais Samia ushauri wa ukweli kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo urais wa 2025.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaounga mkono urais wa JMT 2025, twende na mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Nimewasisitiza watu wenye uwezo wa kusaidia, wasaidie, kwa kumshauri Rais Samia ushauri wa ukweli wa urais wa 2025.

Mimi pia ni miongoni mwa watu hao wenye uwezo wa kusaidia, na nimeisha saidia kwa kutoa ushauri wangu kusaidia taifa langu.

Kwa upande wa CCM nimeeashauri katika bandiko la sauti HII

Na kwa upinzani pia nimewashauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Kauli hiyo inaonyesha Rais Samia tayari ameisha hakikishiwa na watu wake, kuwa 2025 rais ni yeye, hii maana yake ni rais wetu wa 2025 tayari tunaye, yupo na ameisha chaguliwa, (amechaguliwa na nani?), hivyo siku ya uchaguzi ni kumthibitisha tuu!.

Hivyo nashauri, wale wenzetu ambao ni Presidential hopefuls wa urais wa JMT kwa uchaguzi Mkuu wa 2025, nawashauri save your time and money, rais wa JMT 2025, tayari tunaye!, zoezi la upigaji kura za urais uchaguzi wa 2025, sio kumchagua rais bali kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5, hivyo hata kama rais tayari tunaye, bado tutapiga tuu kura sio kumchagua rais bali kutimiza tuu takwa la kikatiba la kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano hata kama uchaguzi huo sio uchaguzi, bali ni igizo tuu la uchaguzi kumthibisha tuu rais aliyepo!. Swali kama hili pia nililiuliza kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Tena nimewasikia watani zangu fulani wakisemezana kumsimamisha jembe lao, jibaba la shoka na shujaa wao, nawashauri wamsimamishe mgombea mwanamke, wanawake ndio wapambane, maana jibaba dume la shoka kushindwa na mwanamke, si ni itakuwa ni aibu sana?. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
Nawatakia Jumamosi Njema

Paskali
Mzee Pascal Mayalla, Jibu la yote hayo liko hapa👇👇
‭Isaya 55:8-9 SUV‬
"....Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu..."

Acha mwanadamu atambe na kufikiri kibinadamu. Lakini mpango wa Mungu wetu ni tofauti kabisa..

Huyu mama na watu wake masikini hata hawajui Kilichopo mbele yao..

Watumishi wengi wa Mungu wa kweli wameshamwambia kuwa "utawala wako na CCM kwa ujumla ulishakataliwa". Bila shaka haamini haya..

Yeye na watu wake wanawaza kutawala watu wa Mungu wa Taifa lake hili zuri la Tanganyika kwa hila kama walivyofanya miaka yote..

Mungu amesikia kilio cha watu. Sasa anashuka mwenyewe kuja kutuokoa..

Ni ajabu na kweli. Lakini nyakati na majira mapya ya taifa letu yaneshafika. Tujiandae..
 
Mkuu baro , kwenye mtaala wa hesabu shule za msingi kuna topic ya hesabu za yumkini, probability, shule nyingi huwa zina skip hii topic hivyo wangi hawajui yumkini, na kwenye yumkini ya kuyumkinika naweza kukutajia majina hata 10 na bado nikawa right
1. Baada ya Rais Samia kusema 2025 twende na mwanamke, nilipandisha bandiko hili na kusema, mwanamke huyo sio lazima awe Samia, anaweza kuwa Dr. Tulia!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

2. Nikasema anaweza kuwa Dr. Mwinyi. Kuelekea 2025 - Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

3. Nikasema anaweza kuwa Dr. Mpango. Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

Kwa hesabu za probabilities za yumkini ya kuyumkinika, bado niko right!.

P
Topic ya probability Iko sekondari na sio shule ya Msingi na sekondari ni Form 4 na Advanced level , kuhusu hoja yako simamia post ya Mwisho, Je Dr. Mpango ni Mpango Mzima? au Kuna mabadiliko tofauti na hapo utakuwa unajichanganya na kukosa uhalisia katika informer wako, tambua unaaminika ila utapoteza uaminifu kwa kutokuwa na consistency
 
Acha inyeshe tuone wapi panavuja , cha msingi tukutane 2025 kama uchaguzi ukifanyika , mzee Paskali usiku mwema

Note
Uchaguzi ukifanyika hakuna rangi hawataiona , wote wanaofikiri biashara huwa ipo na faida kila siku bila kujali ni mzoefu kiasi gani ,Kuna watu hawataamini yani
I am very optimistic too.

Kwamba, huyu mama na CCM yake hawataamini kitakachowakuta kama ambavyo wafuasi wa Goliath walipoachwa ktk mshangao pale ambapo mfalme wao, shujaa wao wa vita na aliyekuwa na kila aina ya silaha za kupiga adui zake na kushinda vita yoyote alivyoshindwa ktk namna ya ajabu, rahisi na wasijue kitu gani kimetokea mbele yao mbele ya Kijana mdogo tu aitwaye Daudi akiwa na manati (kombeo) tu mikononi mwake..!

Scenario ya Goliath vs Daudi inafanana 109% na scenario iliyopo mbele yetu; i.e Samia/CCM (jitu kubwa) vs Wananchi Wazalendo wanaotaka kuikomboa nchi na taifa lao toka mikononi mwa hayawani..

Li CCM ndilo li - Goliath lenye kumdhihaki na kumtukana Mungu aliye hai, lenye umbo kubwa (wao husema wana "Dola" i.e polisi, Tume ya Uchaguzi (NEC), UWT, JWTZ nk..

Lakini wananchi Wazalendo wa nchi hii wao hawana polisi wala NEC haiko upande wao kama ilivyo kwa UWT na JWTZ wasiona wala kujali Bali nao walishakuwa sehemu ya uhalifu na uovu..

Lakini sisi wana wa nchi hii, wazalendo kwelikweli, mikono yetu, na miguu yetu, na mioyo yetu imetiwa nguvu ya Mungu aliye juu mbinguni. TUTASHINDA..!

Tumeshachoka na unyanyasaji na uonevu wa huyu Goliath - CCM mwovu na muasi. Sasa atapigwa tu na hawataamini kinachokwenda kutokea. Tunamwamini Mungu aliye hai. Amesikia maombi na kilio chetu. Ameshuka mwenyewe invincibly kutukomboa..!!

Hawataamini kitachowatokea..
 
I am very optimistic too.

Kwamba, huyu mama na CCM yake hawataamini kitakachowakuta kama ambavyo wafuasi wa Goliath walipoachwa ktk mshangao pale ambapo mfalme wao, shujaa wao wa vita na aliyekuwa na kila aina ya silaha za kupiga adui zake na kushinda vita yoyote alivyoshindwa ktk namna ya ajabu, rahisi na wasijue kitu gani kimetokea mbele yao mbele ya Kijana mdogo tu aitwaye Daudi akiwa na manati (kombeo) tu mikononi mwake..!

Scenario ya Goliath vs Daudi inafanana na scenario iliyopo mbele yetu; i.e Samia/CCM (jitu kubwa) vs Wananchi Wazalendo watakaka mabadiliko chanya..

Li CCM ndilo li - Goliath lenye kumdhihaki na kumtukana Mungu aliye hai, lenye umbo kubwa (wao husema wana "Dola" i.e polisi, Tume ya Uchaguzi (NEC), UWT, JWTZ nk..

Lakini wananchi Wazalendo wa nchi hii wao hawana polisi wala NEC haiko upande wao kama ilivyo kwa UWT na JWTZ wasiona wala kujali Bali nao walishakuwa sehemu ya uhalifu na uovu..

Lakini sisi wana wa nchi, wazalendo kwelikweli, mikono yetu, na miguu yetu, na mioyo yetu imetiwa nguvu ya Mungu aliye juu mbinguni..

Tumeshachoka na unyanyasaji na uonevu wa huyu Goliath - CCM mwovu na muasi. Sasa atapigwa tu na hawataamini kinachokwenda kutokea. Tunamwamini Mungu aliye hai. Amesikia maombi na kilio chetu. Ameshuka mwenyewe invincibly kutukomboa..!!

Hawataamini kitachowatokea..
Mkuu umeongea kiroho sana, ni wachache wanaweza kukuelewa , ila Hawataamini kitakachowatokea , kama uchaguzi ukifanyika . Thanks roho wa Bwana akawe juu yako na imekua.
 
Dunia inakoelekea haitabiriki

Kila nikiwaangalia Ruto na Sir Starmer sioni furaha ya kuongoza kwenye nyuso zao 🐼
Aisee Kumbe kuna wakati unakuwa “deep”. Unaweka mizaha pembeni.

Umeona. Kwenye nchi makini iliyosheheni raia waelewa na majasiri, uongozi ni MZIGO.

Nchi ikisheheni mazoba (walking dead), uongozi ni pepo. A walk in the park! Waeleze mazoba jambo zito na la maana kwa taifa, wanashangilia sana. Waeleze ujinga wanabubujikwa na machozi ya furaha! 😳. Hapo wahuni wanajiandaa kutawala milele tu.
 
Kama kuna kabila ambayoiinajifanya haikubali kutawaliwa na mwanamke basi ya kwanza ni Wasukuma, wamezowea wao kupigiwa magoti na wanawake.

Haiwaingii akilini hata chembe kuwa mwanamke anaweza kuwaongoza.

Ni ujinga wa asili walionao.

Sasa ujinga wao unafika mbali, kuwa mwanamke anaweza kuongoza kichawi tu.
Hili sio bandiko la ukabila wala la jinsia,
Unamjua aliyemchagua Samia awe running mate wake ni kabila gani?.
Kuhusu kuteua wanawake ni kweli JPM alipoingia ni kweli ilikuwa na changamoto ya uteuzi wa wanawake, Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! humo nilisema
Wanabodi,
Nimeona mijadala mbalimbali kumlaumu rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kwa kuteua wabunge wanaume 6 na Wanawake 2, kati nafasi zake 10 za uteuzi.

Sasa kwa vile wanawake hao wenye sifa na vigezo hivyo vya kuteuliwa hawako wa kutosha, then rais hawezi kujiteulia tuu wanawake just kwa vile ni wanawake hata wasio na sifa na vigezo, ili tuu kutimiza takwa la usawa wa kijinsia kwenye katiba, eti kwa sababu tuu katiba imeshauri, no way!, kwani Katiba ni nini?, hata ikibidi kuweka pembeni katiba, then Magufuli, weka tuu pembeni katiba, kama ulivyofanya kwenye mikutano ya kisiasa, endelea kupiga kazi!.

Declaration of interest:
Mimi natoka Kanda fulani, wengi wetu tunakabiliwa na tatizo la kisaikolojia liitwalo "male chauvinism" ambapo we don't believe in "strength of a woman",or in "girls powers".

Kwetu sisi "a woman's place is at the kitchen", ila pamoja na kuwaona wanawake stahili zao ni jikoni tuu, watu wa kabila langu ndio tunaoongoza kuthamini wanawake kwa kuwapenda watuhudumie kuliko makabila mengine yote nchini Tanzania, na tunapenda wanawake wengi hadi kujikuta tunaona sifa kuwa na wanawake wengi na watoto wengi!, tena tunaongoza kwa kuhonga, kuanzia kuhonga pesa nyingi, gari hadi nyumba na wengine wetu tumehonga hadi ghorofa!, (mfano mimi nyumba ninayoishi, nimeisha honga siku nyingi kwa kale cheupe), hivyo naishi kama mpangaji tuu, lakini linapokuja suala la kuwaamini wanawake kwenye mambo makubwa!, no way!, nafasi yao ni jikoni tuu!

Hivyo ukiniambia nitafute wanawake 5 wa kuwateua ubunge, nikajitahidi nikapata angalau wawili, ushukuru Mungu sana kwa hao wawili na kunipongeza badala ya kunilaumu, maana hapo ndio ujue kuwa nimejitahidi sana kutafuta ndio wakapatikana angalau hao wawili, nikawateua, vinginevyo...
Wasalaam
Paskali
Baada ya bandiko hilo, JPM alianza kuteua wanawake kwa wingi, akianzia yule wa Immigration, kutokana na yale macho, watu wa maneno maneno na vineno vineno hawakuchelewa kutia neno kuwa kila mwanamke anayeteuliwa ni nanihino wake, JPM hakopeshi akawapasha live
View: https://youtu.be/WWLwTqTkzew?si=kEXsbOpUeD5E3wvy

Wasukuma na Kanda yote ya Ziwa sasa tunawakubali sana wanawake na 2025 utashuhudia kura determinants za urais zitakavyo miminika kutoka Kanda determinant ya kura za urais wa Tanzania ambayo ni Kanda ya Ziwa.

Na kwa upande mwingine, sisi wenzenu Wakristo ukiondoa Kanisa Katoliki, Wakristo wengine wote tunawakubali wanawake kuwa makasisi wetu na tunakubali kuongozwa na mwanamke vipi nyinyi wenzetu Waislamu?.
Utanijibu ukimaliza swala maana mida hii ni mida ya swala
P
 
Mzee Pascal Mayalla, Jibu la yote hayo liko hapa👇👇
‭Isaya 55:8-9 SUV‬
"....Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu..."

Acha mwanadamu atambe na kufikiri kibinadamu. Lakini mpango wa Mungu wetu ni tofauti kabisa..

Huyu mama na watu wake masikini hata hawajui Kilichopo mbele yao..

Watumishi wengi wa Mungu wa kweli wameshamwambia kuwa "utawala wako na CCM kwa ujumla ulishakataliwa". Bila shaka haamini haya..

Yeye na watu wake wanawaza kutawala watu wa Mungu wa Taifa lake hili zuri la Tanganyika kwa hila kama walivyofanya miaka yote..

Mungu amesikia kilio cha watu. Sasa anashuka mwenyewe kuja kutuokoa..

Ni ajabu na kweli. Lakini nyakati na majira mapya ya taifa letu yaneshafika. Tujiandae..
Maneno mazito sana !!
 
Back
Top Bottom