News of Rwanda investigations have led us to two very luxurious shops in Dar es Salaam. One of them is named RENZO located within the upper class MIKOCHENI Shopping Mall opposite SAVERIOS Pizza. The other shop is VIRAGO, positioned opposite Baraka Plaza. Both these shops are located in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam where Tanzanias rich and good brash shoulders. According to sources on the ground, these two Kikwete-Kabila shops sell the most luxurious clothing and jewelry in Tanzania.
However, despite the size and expensive line of business, the shops are not registered with the Tanzania Revenue Authority (TRA). The two names are not found anywhere in the tax receipts of the TRA, which according to well-informed sources, means they do not pay taxes. However, nobody including the TRA commissioner general Harry Kitilya can say anything for fear of retribution. According to people operating businesses within the MIKOCHENI suburb, these particular shops are a no-go zone for ordinary Tanzanians.
Wanyarwanda mnaoishi mikocheni na mbezi acheni umbeya wenu kupitia the The News of Rwanda mbona hamtaji mali za viongozi wa Rwanda zilizogaa Dar es salaam?Huko TISS mnakogusa mtashindwa kulala majumbani mwenu shauri yenu.Mnahani nyumba ambayo haijafiwa.
Hatuwahisi kuwa wanyarwanda, bali TWAWAJUA kuwa ni watutsi!....note the difference!..na kwa taarifa yenu hamuwezi kuanzisha moto katika Taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!....keep on day dreaming.. you tutsis are disgusting...MNATIA KINYAA
Wala usimtishe Au kuwatisha, waache waseme wawezavyo Lkn wao ndio watakua Wa kwanza kupiga kelele!
Mkuu nimekuelewa from now nanyamaza kinywa.
Hakika wengi wetu humu tufahamu taifa la israel, wayahudi, historia ya wayahudi na nguvu zao kisiasa na kijeshi. Na pia naamini wengi tunahamu rwanda, tutsi, historia yao na nguvu yao kisiasa na kijeshi. Hawa watu historia yao inafanana kiasi, wote wamepitia kipindi cha kuuliwa na kunyanyaswa sana tofauti wayahudi waliuliwa na wanazi wa kijerumani, na dikteta amin,nk kwa upande wa tutsi wao waliuwawa na majirani zao wahutu. Kwa sasa hawa watu wana dola wanaziongoza wayahudi israel watutsi rwanda na tunashuhudia jinsi hizi dola mbili zilivyo na usumbufu kwa nchi jirani israel mashariki ya kati na rwanda mashariki mwa afrika kiasi kwamba nchi za magharibi wakiongozwa na kilanja wao mkuu marekani wanashindwa wafanyeje na kubaki kusema kwa maneno tu eti israel ikomeshe kujenga makazi ya walowezi kule israel mara rwanda inasaidia waasi kule kongo waache mara moja, ukweli hizi jamii mbili ni hatari sana sasa, zilitaabika sana kwa kuuwawa kwa maelfu lakin hivi sasa mwenyezi MUNGU anazifuta machozi ukizigusa tu umeisha, MUNGU anakuadhibu. Ukiangalia israel kazungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo baadhi ama yote hayampendi kwa sababu ya kunyanyasa ndugu zao wa palestina, kwa akili ya kawaida si wangeungana wakampiga ili akome ila kwa kuwa wale wahusika wanajua siri ya urembo. Ukija kwa upande wa rwanda utasikia serikali ya congo inalalamika rwanda wanasaidia waasi na wanapora madini rais analalamika, jeshi la congo linalalamika lakin kwa akili ya kawaida fikra zinasema kwa nn linchi likubwa kama congo lisikavamie na kukaadhibu karwanda ili kakome na kihelehele chake cha kuwasaidia waasi kunyanyasa wakongoman na kupola rasilimali zao? Ila wahusika kwa kuwa wana busara wanaijua siri ya urembo. Sasa huu msala naona umehamia kwa nchi yetu tanzania na kuna watu huku mtaani wanasema tuivamie rwanda weweweweweh! Sio jambo la kuthubutu kabisa hilo make cha moto tutakacho kipata hatutasahau sisi hadi wajukuu wetu. Hoja eti sisi nchi yetu kubwa karwanda kadogo. Hivi sisi nchi kubwa kuliko kongo? Vita sio linchi likubwa asee ndo unawin. Mfano marekani na NATO wanapigana na kakikundi tu taliban waulize mziki ulivyo mnene. Namaliza kwa kusema hivi 'ushauri mzuri sio rahisi kuupata na hata ukiupata sio rahisi kuufuata hasa kwa mswahili' nashauri tanzania tusipigane na rwanda kijeshi tutajuta bali tupigana hivi kwa maneno au haya mambo yaishe kabisa na haya yote rais anajua na jeshi letu linajua sasa nyie huku kitaa shobokeni tu.
Watanzania ni wajinga sana. TPDF haiwez kwenda sehemu bila kuwa na assessment and military intelligence in place sababu ya mapenzi ya kikwete tu na fdlr. Kwanza hii article mnasoma tu haina lolote mama salma ni mhutu?? Urafiki wa salma na mama membe umeingiaje hapo. Things are not connecting right. Bado walio wajinga wanajiita wamesoma udom sijui udsm eti nao wasomi. Manina
Wanyarwanda mnaoishi mikocheni na mbezi acheni umbeya wenu kupitia the The News of Rwanda mbona hamtaji mali za viongozi wa Rwanda zilizogaa Dar es salaam?Huko TISS mnakogusa mtashindwa kulala majumbani mwenu shauri yenu.Mnahani nyumba ambayo haijafiwa.
Hizi nyeti labda zimetolewa na yule jamaa mnyarwanda wa (TISS) waliesema katoroka
Hatuwahisi kuwa wanyarwanda, bali TWAWAJUA kuwa ni watutsi!....note the difference!..na kwa taarifa yenu hamuwezi kuanzisha moto katika Taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!....keep on day dreaming.. you tutsis are disgusting...MNATIA KINYAA
Yawezekana ila pia ni kuchukua tahadhari sababu mwanzoni ilionekana PK nia yake kule DRC ni madini ambayo kwa taarifa hii mleta mada anataka kuaminisha umma kuwa na JK anayataka pia ili jitihada za Tz kushiriki kuwaondoa wale wahuni ionekane kuna conflict of interest.Kwahiyo taarifa zaweza kuwa za ukweli au?
kiukweli rwanda kuna kitu wanatutafuta sio bure,hawawezi kutuzushia maneno yasiyo na ukweli kisa tu walipewa ushauri na rais wetu,kwa hilo hapana rwanda lazima mtuheshimu kama nchi iliyo wasaidia sana kulejesha utulivu nchini mwenu.
Uendawazimmu wake ni katika kubomoa nchi jirani kama ya Kongo, katika hilo hamna jibu la maana.Naona nyie pk mnamuona mwendawazimu,pk hayuko hivyo anajua fika vita haijengi bali inabomoa,na yeye yuko bussy kuijenga nchi yake,hayuko tayari kubomoa alivyo vijenga,lakini kama italazimu itabidi avilinde kwa hali na mali.
Uendawazimmu wake ni katika kubomoa nchi jirani kama ya Kongo, katika hilo hamna jibu la maana.