mossad007, dogo achakudanganya watu hapa,kuingilia mambo ya ndani ni kujaribu kugeuza mipangilio ya mtu kwake,kwanza rwanda inautaratibu wake wakurudisha wanyarwanda nchini rwanda,iliweza kuwarudisha wakimbizi zaidi ya milioni mbili kutoka congo,FDLR zaidi ya elfu kumi,na mpaka leo wanarudi bila ya msaada wa kikwete,sasa leo jamaa anachomoka sehemu anakwambia naona unayoyafanya sivyo inabidi ukae nao muongee,tena na genociders,ambao wameshindwa vile vile,hiyo ni kama kupatia award mauaji ya kuangamiza rwanda,hao inabidi waje watubu na sheria zichukue mkondo wake,nafikiri kama hilo panga linge pitishwa bagamoyo kikwete asingekua anashauri hivyo,kwa sababu walifanya maovu mungu aliwatia mikononi mwa wakombozi na ni aibu mbele ya mungu kuwachukua waovu katika nchi takatifu bila kutubu dhambi zao na kupewa huruma.