Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kesho watanganyika tunaingia kwenye zoezi adhimu la kuwatafutia rais mpya wa zanzibar.Ngojeni kwnza tuuvunje huu muungano ndo mtafute vita.. Wazanzibari hatutaki vita kabisa.. mupigane peke yenu coz nyinyi mmezoea mizozo.. muliipiga Uganda sasa Rwanda.. kw hio ngojeni tutoke kwanza..!
Wivu unakusumbua stupidRais Kagame wa Rwanda amekua mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika. Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa. Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa. Jeshi lake limekua congo drc miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake uganda. Hivi leo kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri afrika kutokana na wizi wa madini kivu ya kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na jwtz na kutimuliwa nje ya congo hadi uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka asksri wa jwtz drc. Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia tanzania. Tusijidai eti tunajali biashsra kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili kagame ama sivyo tutakuja kujuta. Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko rwanda.
Pia ningewashauri msumbiji wasiamini majeshi ya rwanda kuwasaidia kumaliza waasi kaskazini mwa nchi hiyo maana rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Hadi umetukana ina maana hoja ni sahihi. Wewe utakua chawa wa pk tu.😂😂Wivu unakusumbua stupid
a little and coward kagame can do nothing to TzRais Kagame wa Rwanda amekua mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika. Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa. Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa. Jeshi lake limekua congo drc miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake uganda. Hivi leo kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri afrika kutokana na wizi wa madini kivu ya kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na jwtz na kutimuliwa nje ya congo hadi uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka asksri wa jwtz drc. Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia tanzania. Tusijidai eti tunajali biashsra kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili kagame ama sivyo tutakuja kujuta. Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko rwanda.
Pia ningewashauri msumbiji wasiamini majeshi ya rwanda kuwasaidia kumaliza waasi kaskazini mwa nchi hiyo maana rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Rwanda wanasumbua sana km ww si mfuatiliaji wa vitu huwezi elewa kwa nn lazima tuwe makini Congo kanaisumbua sana kako mpaka C.R.A hadi rais wa nchi hiyo analindwa na wanajeshi wa rwanda nenda msumbiji ndo kamewatuliza wale wanajihadi sasa ww unakachukulia poa poaUjamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
😀😀Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Mara hii, KP hatoboi. Tusubiri.Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Rwanda wanasumbua sana km ww si mfuatiliaji wa vitu huwezi elewa kwa nn lazima tuwe makini Congo kanaisumbua sana kako mpaka C.R.A hadi rais wa nchi hiyo analindwa na wanajeshi wa rwanda nenda msumbiji ndo kamewatuliza wale wanajihadi sasa ww unakachukulia poa poa
Mwenye akili ndogo hatokuelewa lakini intelijensia yetu inatakiwa kufanyia kazi hiliHadi umetukana ina maana hoja ni sahihi. Wewe utakua chawa wa pk tu.😂😂
Ww kaa na upuuzi wako hivo hivo unadhani hujui chochote upo upo tu kama zoba unafikiri wa tz ni mazoba kwamba tutakaa kimya huyo bwege akileta upuuzi mwambie watz ni mzinga wa nyuki tutamwachia manundu huyo mmeoNonsense. Hata JPM mlisema analindwa na Rwanda. Story za vijiweni usilete JF.
Congo wanasumbuana wenyewe wao wamekuta weakness tayari. Lini Congo ilitulia? Lumumba aliuwawa na Rwanda?
Siku inferiority complex ikiwatoka mtaendelea.
Mjinga tu wewe. Nani alikudanganya eti watanzania wako inferior. Sisi tunawaangalia mkigombea kula kama mafisi huko kwenu. Ukweli tunawashangaa.Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Umesema kitu bro. Ni over rated kwa kua watutsi kwa uongo na propaganda ni hatari. Tunaoneshwaga kigali eti safi kama europe. Mbona hawaoneshi miji mingine? Ukweli kigali ni safi na inapendeza lakini wenye kujua kwingine wanasema ni ovyo huwezi hata kidogo kwa mfano kulinganisha na mikoani ya tanzania.Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.