Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)


Samia anamuamini mwaka 2023 Yaliingia makontena ya silaha Na Tanzania ilijua fika zile silaha zinaenda kwa m23 lakini Kagame akasema ni zake bado Tz ikaruhusu.
Ni hatari.
Yule jamaa akipata bandari ataagiza silaha nyingi na hamna sehemu itakua salama

Kashawatengenezea waasi burundi anawapa silaha
Kongo kawatengenezea waasi
Tz anatutwanga kupitia msumbiji
bado hajatumia hao m23

Nchi iliyojaa rushwa kama hii hamna vita itashinda. Vita inashindwa kwa kua na jeshi lenye displine
 
Kagamephobia.
Tunamatatizo makubwa ya kishughulikia kuliko Kagame. Naamini angekuwa ni hatari kama unavyotaka kuaminisha angeshashughulikiwa kitambo. Huu uzi ni sahihi kwa Congo sio TZ
Lkn Congo ni Buffer zone. Yuko Mozambique ukimuacha Congo na akawa Mozambique utashindwa Preemptive
 
Paragraph ya mwisho ina maana kubwa sana
 
Huyu tuliye naye ni zaidi ya kagame ...uchafu anao fanya ni kufuru tupu laana ....icho ulicho andika ni sawa sawa na kumwambia mtu anawe mikono hili akale mafii
 
M23 hao ni wanywa pombe za kienyeji, especially gongo.

Hatuna nguvu zozote za kijeshi japo ni kweli tunaweza kuikabili M23 au kuikabili Rwanda, haimaanishi tuna nguvu kijeshi.

Bado wananchi wanakunywa maji na mifugo.

Vita ni kwa nchi zinajiweza Kama Ulaya na America.
 
Akili za kipumbavu na kimaskini tuu hizi, Kagame kaifanyia Nini Tanzania mpaka tuwe na tafadhari? Rwanda ni opportunity kubwa sana Kwa Tanzania, Tanzania imezungukwa na nchi sita landlocked ambazo zinahitaji bandari kama ya Dar es Salaam to survive, Mimi ningeweka focus kutengeneza urafiki na infrastructure kuhudumia Rwanda na kuifanya itegemee bandari yetu 100% na ningehakikisha infrastructure inaunganisha na Burundi maana hao wote Wana population ya zaidi ya millioni 30, imagine kukamata soko kama Hilo la watu millioni 30 kwa 100%, Kwa nchi hizo mbili tuu tungeweza kutengeneza billions of money Kwa bandari tuu, akili za kinga ndio zinatuponza watu weusi, wenzako wanafanya ubabe kwenye maslahi sio usikike tuu au chuki za kikabila, matatizo yao ya Congo ningekaa kimya tuu tena ningewauzia silaha na chakula maana wao ndio wangetufanya, mmarekani anaposema sina permanent friend ni interest tuu kama huna akili huwezi kuelewa, na nchi inayopitisha cargo zake kwako 100% haiwezi Kuwa tishio kwako, atakuwa rafiki yako mkubwa na kukufanya uwe tajiri mkubwa, uliyeleta uzi ulaaniwe na huna akili
 
Jibu hoja ujamaa unakujaje sasa
 
Katika jambo mojawapo zuri alilofanya Kikwete wakati wake upende wa Jeshi ni kuwapa makamanda mafunzo ya kisasa sana ya vita. Nakumbuka kuna makamanda wengi waliopata mafunzo ya mbinu za kisasa sana wakiwa makanali akawapandisha wote kuwa majenerali, ila sasa wengi wao wamshastaafu.
 

Unasema hatuna nguvu za kijeshi, halaf main point bado wananchi wanakunywa maji na mifugo? Seriously?
 
Hakunaga mitandaoni picha za Rwanda nje ya "Chigali". Hutakaa ukute.
 
Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
Hii tulipigwa mkuu sio kwel kabisaa. Check Hamas tuu wanavyowapasua vichwa..sembuse hizo nchi 6 kweli?? Tena kwa pamoja? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu waanze kuogopa mtu anayetawala Nchi ndogo kuliko Tabora, idadi ya watu sawa na mikoa yetu sita tu. Kiuhalisia anatakiwa aiogope CCM zaidi, Tanzania ina vijana wengi na haijuwi pakuwapeleka.
 
Pole sana chief..u sound soo bitter..Ni mtu unayejichukia sana it seems
 
Hivi utakuwa na wasiwasi na mtu ambaye unajua kabisa hana miaka 20 mbele?

Kagame akishaondoka Rwanda รฎnarudi ilipotoka
Huwa inasikitisha ukiwaza hii lakin hivi ni kwamba yeye hafikirii hilo kama sisi average citizens tunaliwaa? Nafikiri wanao mpango madhubui wa ku take over after kagame
 
Mleta mada unajua kule msumbiji Tanzania ndio inaongoza mission na operation? Sie hatupendi shobo pia kujitangaza kwa Jiografia yetu ni kuruhusu direct attack
 
Huwa inasikitisha ukiwaza hii lakin hivi ni kwamba yeye hafikirii hilo kama sisi average citizens tunaliwaa? Nafikiri wanao mpango madhubui wa ku take over after kagame

Kama ameshindwa yeye hataweza mwingine.
Ingekuwa nchi ya kidemokrasia na wana sera ya nchi inayosema hivyo. Hata kama ni siri. Ingewezekana.
Lakini kwa bahati nguvu anayotumia ni kama anajilisha upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ