Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Hiki umesema ni kwel chief.I second you. Tanzania kuna wanawake wazuri bwana..dooh!! Wengi wa wanaowasifia wanyarwanda kwa kias flan nahis hawana exposure locally, hawajaizunguka Tanzania
 
Mwaka wa 3 naota ndoto inajirudia eti Rwanda kumetokea Mapinduzi PK anatoroka kwa boda boda anadakwa vichochoroni
 
Mleta mada unajua kule msumbiji Tanzania ndio inaongoza mission na operation? Sie hatupendi shobo pia kujitangaza kwa Jiografia yetu ni kuruhusu direct attack
Japo silifaham hili ila naweza kubali maana kwa sisi tunaoishi mkoa wa pwani along side Kilwa road, daily tunaziona millitary convoy zinapanda na kushuka kusini zimebeba silaha nzito nzito na magari vita
 
Mambo yangekuaga rahis namna hii bas hata israel asingesumbuliwa na Hamas 😂😂
 

Una roho ya kibinafsi ww jamaa,
Kongo wanaishi kina nani?? si waafrica wenzio kama ww, kifupi wakongo na watz ni watu wamoja tulitenganishwa na mipaka!!
Huna tofauti na kina Tip tip waiowashika wenzao na kuwauza kwa wageni!!

Africa imepata watu wenye Laana kama ww!!Mungu atusaidie ,watu weusi tuna mijitu imelaaniwa kama hili .Kilaaniwe na kizazi chako
 
Pelekeni tu majeshi, siku wale makafiri wa m23/magaidi wanaingia huku mtapoteana,
 
Watanzania punguzeni hofu ambazo hazipo, sasa Tanzania tuogope Rwanda kwa sababu zipi?, focus yetu ingekuwa kuongeza kuuza bidhaa , kufanya biashara zaidi katika nchi zote bila kujali mambo yao ili kuongeza kipato kwa taifa na pato la mtu mmoja mmoja, hizi hofu za ohh Rwanda ana tuchunguza ohh Rwanda kaweka watu wake kwenye mfumo ni vitu ambavyo tumesikia zaidi ya miaka 20 sasa na bado hakuna vita Blaina ya nchi hizi mbili, sio sahihi nchi kubwa kama Tanzania kuihofia Rwanda na wananchi wake, sisi sote ni waafrika tufungue mipaka zaidi kurahisisha shughuli za kiuchumi katika nchi zetu.
 
Hii tulipigwa mkuu sio kwel kabisaa. Check Hamas tuu wanavyowapasua vichwa..sembuse hizo nchi 6 kweli?? Tena kwa pamoja? 😂😂😂😂😂
Unawazungumzia hawa Hamas walipo rusha ngumu then wakajificha nyuma ya migongo ya wake zao na watoto, Hamas ambao wamejificha chumbani wakati sebureni wako wake zao na watoto wao wanachapika ?.
 
Rwanda and PK is over rated, ni nchi masikini bado anapambana na basics za raia wake kama food shelter security and healthy, hana ubavu kuanzisha na nchi kama Tanzania ambao sio pori kama Congo.
Mbona nasikia Rwanda nzima Imepigwa lami, kigali yote Iko safi , maendeleo kama yote! Yani ni nusu ulaya,na anatamba na logo ya visit Rwanda kwenye klabu ya arsenal na psg kuvutia wataliii
 
Haaaaaaa better to live in Rwanda kwa watu walio serious na maisha kuliko siasa za kufaidisha wachache,wengi ukiwa upande wa western hutampenda Museven or Kegame kwakua wapo serious na watu wao I know nitapigwa kwakua hata kuishi pale hujawahi unamsikiliza mtu aliopo US/UK anakuandikia na unamuamini
 
Unaweza kumuita Mr double agent anaijua vizuri Sana Afrika mashariki kwa sababu karibu nchi zote hizi amewahi kuzifanyia kazi za ujasusi sio mtu wa kubezwa hata kidogo, siku akifa yule mshenzi wakongoman watafanya tafrija kubwa Sana
 
Usicheke msiba uko kwa jirani ukija kwako utakosa wa kukusaidia yaan ww jirani anakuca ww ndo unachekelea
 
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
Unadhani Israel ilipigana pekee bila kusaidiwa na Marekani na zile Mirage fighter bomber za Ufaranza zilizo teketeza ndege za Egypt wajua marubani walitoka wapi?
 
Huyo atakua mbari moja na kagame. Hawaonagi wengine ila kujiona wenyewe tu🤣😂
 
Wewe humuelewi kagame kiitikadi. Ni ubinafsi na umbari.😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…