Akili za kipumbavu na kimaskini tuu hizi, Kagame kaifanyia Nini Tanzania mpaka tuwe na tafadhari? Rwanda ni opportunity kubwa sana Kwa Tanzania, Tanzania imezungukwa na nchi sita landlocked ambazo zinahitaji bandari kama ya Dar es Salaam to survive, Mimi ningeweka focus kutengeneza urafiki na infrastructure kuhudumia Rwanda na kuifanya itegemee bandari yetu 100% na ningehakikisha infrastructure inaunganisha na Burundi maana hao wote Wana population ya zaidi ya millioni 30, imagine kukamata soko kama Hilo la watu millioni 30 kwa 100%, Kwa nchi hizo mbili tuu tungeweza kutengeneza billions of money Kwa bandari tuu, akili za kinga ndio zinatuponza watu weusi, wenzako wanafanya ubabe kwenye maslahi sio usikike tuu au chuki za kikabila, matatizo yao ya Congo ningekaa kimya tuu tena ningewauzia silaha na chakula maana wao ndio wangetufanya, mmarekani anaposema sina permanent friend ni interest tuu kama huna akili huwezi kuelewa, na nchi inayopitisha cargo zake kwako 100% haiwezi Kuwa tishio kwako, atakuwa rafiki yako mkubwa na kukufanya uwe tajiri mkubwa, uliyeleta uzi ulaaniwe na huna akili