Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Umeongea kizalendo mkuu.
 
Kwa hiyo Rwanda mji ni Kigali tu? Mbona sisikii miji mingine ikitajwa kila kitu kigali×30 . Huko kwingine vipi?
 
Kagame Hana ubaya, unazozisikia, ni propaganda za, kipuuzi, nchi ndogo, zilizozungukwa, na majirani, wa kubwa, hujiona hazipo salama kabisa,. Nguvu ya, nchi, inapimwa, na human capital yake, idadi, ya watu, na utajiri wake, TZ ina watu 66+milioni, Rwanda ina watu 13M! Sie tuna GDP kulinganisha na Rwanda, sie ni tishio kubwa, kwa, Rwanda, kwa hiyo ili Rwanda ipate peace of mind, lazima ifanye vitu(kiki) kujionyesha ina uwezo, mkubwa, kupandikiza story kama hz kutumikia mamluki, sycological warfare, kipindi kile Rwanda imeenda msumbiji, ikajimwambafy imewamaliza magaidi! Kumbe wapi, kiki tu, hata kule Congo, pesa za, M23, hazitoki kwenye uchumi wa Rwanda, zinatoka nje, Rwanda inatumika tu, kufikilia nchi inayotegemea Masokwe, na manyani kama kivutio cha utalii kuingiza pesa za kigeni, inaweza kughsramia Vita isiyoisha Congo, ni ukichaa, Rwanda haina economical muscles ya kupambana na TZ, inatumika tu kama kibaraka, imekubali kupokea wakimbiz kutoka UK, uli ipewe pesa!
Vita, intelijwnsia, ni biashara ya gharama sana, kama Rwanda, itatushinda kiintelijensia, ni kwa sababu, mi ccm, inachowaza ni kushinda uchaguzi tu,
 
Un
Una hoja ya msingi sana
 
Pk kiboko yake jk
 
Niliwahi fanya kazi na binti wa Blue Coast pale GGM kwa sasa kaolewa Kigali,unachoongea ni kweli kabisa
 
Umeliweka vizuri hili la Rwanda
 
Endeleeni kujidanganya tu, ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, ISRAELI kataifa kadogo lakini kanasumbua waarabu wote mashariki ya kati.

Ukubwa ni akili, maarifa, teknolojia na umakini wa watu wako, bahati mbaya vyote hatuna na wenzetu wanavyo.

Watu wetu tunawajua maana ndio hawahawa tunaoishi nao mitaani, tabia zao na aina ya maisha yao ndivyo vinavyotuletea woga.
Hatari nyingine huku NI CCM inayoamini kwenye kutawala na si ustawi wa watu wake na uwekezaji kwenye vitu vya msingi..
 
Ni rahisi sana Mtutsi wa Rwanda kuingia Tanzania akaishi na hata kufanya kazi akitokea Ngara, Bukoba, Kigoma nk na hata kuwa kwenye mifumo lakini ikawa ngumu sana kwa wanaofanana nao kutokea Tanzania kuingia Rwanda na kufanya kazi kwenye mifumo.

Watutsi wa Rwanda ni moja ya jamii makini yenye akili, uaminifu, utiifu na ubinafsi dhidi ya kabila lao na maendeleo ya kabila lao, HILI LINAWAFANYA KUWA MAJASUSI WAZURI DHIDI YA TAIFA LAO NA KUWA NGUMU KUPANDIKIAZA MOLES MIONGONI MWAO.

Sifa kubwa ya WATANZANIA ni jamii ya watu ambao hatuko serious, kuanzia wenye nyadhifa mpaka raia wa kawaida hili limetufanya kuwa wepesi kupenyeka kupitia NGONO, RUSHWA NA KUZIDIWA MAARIFA.
Bahati mbaya WATANZANIA WENGI TUNAPENDA NGONO, ngono hovyohovyo na umalaya NI miongoni mwa vitu vinavyoondoa concentration miongoni mwetu nakutufanya watu wa hovyohovyo, kupenda maisha mazuri ya harakaharaka Kwa wazee na vijana kumetufanya wengi wetu kuwa hata tayari kuuza utaifa wetu na kushirikiana na wageni kupata mambo fulani fulani muhimu kwa maslahi yao.
 
Tuna ujinga sana
 
Ngoja niwape ujinga mwingine; Watusi ni wahabeshi - waisrael waliotawanyika miaka mamilioni mengi yaliyopita, hawaendeshwi na nguvu za misuli kama wanyamwezi nyie wanatumia akili, na mdhalau biu humiuka yeye au washwahili wengine husema mdharau mwiba mguu huota tende, Shida yako ni nini mpaka umrushie matusi bila sababu, Bhahima empire ipo mpaka Tanzania tene over one third sasa unasema ka Nchi kadogo weeee ishia hapohapo, Banyamrenge ni mamilioni yakutosha ambao being in Congo mioyo yao iko serikali ya Kigali so usirushe matusi wakati hujui hata kushika msg, tulia bro usije ukamwagwa kamasi. Tanzania inaheshimu Nchi zote iwe ndogo iwe kubwa (tumeheshimu zanziber wana uhuru wao na bendera sembuse Rwanda)tumejengewa diplomasia ya mahusiano mema hata Amini tulilazimika kumpiga kutokana na jeuri tu aliyotuonyesha mpaka kuchukua aridhi yetu vinginevyo hatukuwa na sababu.
 
mkoa hauwezi pigana na nchi, ..mkuu wa mkoa wa Rwanda paul kagame analijua hilo ndo maana hawezi thubutu
 
Kuna mada hapa nilieleza kuhusu mashaka ya ofisi za ugaidi wa msumbuji ulifutwa.na ili naona unakaribia kufutwa
 
Watusi Wana akili sana!!..acha ujinga,akili gani!?..mbona tulipeleka mtusi mwenzao hapo tukanyonya wee taarifa Kisha akarudi makumbusho,wakabaki kubweka tu
 
Watusi Wana akili sana!!..acha ujinga,akili gani!?..mbona tulipeleka mtusi mwenzao hapo tukanyonya wee taarifa Kisha akarudi makumbusho,wakabaki kubweka tu
Unakumbuka na yule kijana wa IT aliyekimbia na Laptop kurudi Kigali.?

Utambue tu, kama umeweza kupeleka mmoja basi wapo wengi sana huku na damage ni kubwa saana.

Hauoni ndugu zako wengi wameoa na kuchepuka na zile pua ndefu na mishepu, zimejaa kibao mjini na mingine ni mishangazi ya kitambo na ndugu zako walijimilikisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…