Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Pot kikosi.chenu lazima tuwatume mkapambene na wahuni wa m23 sisi tunakamuliwa kodi nyie mnalipwa mtulinde😀😀

Kuna mapot waoga washaanza kufoj ugonjwa😀😀
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Wewe ni mpuuzi na akili huna.Hebu fikiria mtu amesoma chekechea shule inaitwa Princess Nursery,Primary kasoma Golden Academy na Secondary Elite School na Chuo kapelekwa nje ambako alidanganya anasoma na akarudi nyumbani bila cheti unadhani anajua lolote kuhusu nchi hii ? Watu kama nyinyi mnatakiwa kunyongwa mapaema ili tusije tukawa na kizazi cha washenzi kadiri miaka inavyoenda mbele.
 
Haahaa saivi ikinyesha mvua kidogo tu hapo kitaani kwenu wote mnatawanyika sasa hawa ndo uwapeleke wakapambane na watu walizoea kuona damu na vifo maisha yao yote? come on! unatafuta balaa shehe
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Huyo jamaa aliwahi kumchapa nani?
 
Hata

Ukraine ilikaza hv hv kwa kutegemea misaada, sasa hv 25% imechukuliwa imebaki kufanya sabotage kwenye maghala
 
Kweli kabisa tanzania hatuna jeshi la kumpiga kagame ukweli mchungu Rwanda ni kama Israel
 
Tz inaweza kupigana na Congo na Rwanda na waungane na ndugu zao Burundi...na wote wakapigwa kama ngoma
 
Slim is overated, na aelewe nafas yake!
 
Pot kikosi.chenu lazima tuwatume mkapambene na wahuni wa m23 sisi tunakamuliwa kodi nyie mnalipwa mtulinde😀😀

Kuna mapot waoga washaanza kufoj ugonjwa😀😀
Haahaa saivi ikinyesha mvua kidogo tu hapo kitaani kwenu wote mnatawanyika sasa hawa ndo uwapeleke wakapambane na watu walizoea kuona damu na vifo maisha yao yote? come on! unatafuta balaa shehe.
 
Narudia tena tusijaribu kuingia showdown na hawa jamaa, kwa maana uwezekano wa kuchapika ni mkubwa.

Japo historia ya enzi ya Iddi Amin inatubeba lakini itoshe kusema muda mwingi umepita na haya mambo ya ulinzi na usalama yamebadilika sana, tusijaribu tutachakaa.

Warfare ya sasa ni hitech na haijali mkubwa wala mdogo inategemea na uwekezaji ktk teknolojia na utayari wa wanajeshi lako. watu wetu wapo tu huko makambini sanasana wakitoka humo unapishana nao mabarabarani wakitroti na bdae kurudi makambini kulala. Nje ya hapo labda utaweza kuskia wameenda amani.

Kila uchao hawa jamaa wamekuwa kwenye mapambano kibao kwenye kona mbalimbali za bara hili maana yake jeshi lao lina hali na utayari wa hali ya juu, naonya tusijaribu tutachakaa.

Mfumo wa kuajiri wa jeshi letu bado sio merit based. Kuna mianya mingi ya kuingiza watoto wa wakubwa, watu nyoronyoro wapakapoda, weengi hawana misingi wala utayari wa kuwa frontliners kama wapambanaji, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Historia yao na hasa yale waliyopitia 1994 inawafanya hata mwananchi wa kawaida tu kuwa macho kijeshi muda wote, naonya tena tusijaribu tutachakaa.

Hali yetu kwenye haya mambo ya ulinzi na usalama inajulikana sina haja ya kusema hapa. Maana sio ajabu kukuta mtu hawezi hata kutofautisha mlio wa bunduki na pancha au basti ya gari, naonya tena tusijaribu tutachakaa.
Umeandika ushudu tu ukikaa huko vijiweni unasimulia maboya wengine wanakuona ww field marshall kumbe hamna lolote
 
Mawazo ya kijinga na kipumbavu kabisa! ka nchi kenyewe hako unakokazungumzia kana technology gani? mmejazwa ujinga sana nyie ndiyo maana huwa wanadharau sana.
 
Back
Top Bottom