Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Haya yanayotungwa na News of Rwanda ni propaganda za kitoto, very amateurish. Hadanganyiki mtu mwenye uwezo wa kuona mbali. Kwani inaposemekana Rwanda imepiga hatua kubwa za kimaendeleo haiwezekani kwamba wenye macho hatujui jinsi gani wizi wa madini ya Kongo ume-finance mambo yao? Uganda je?
Kama toto dogo lililozoea kufunua mkebe wa sukari na kuiba humo, mkebe sasa umefungwa na majeshi yetu. Kwa hiyo kama ni hasira, basi dogo ambaye ni kubwa jinga Kagame amesheheni nazo. Mkebe wa sukari umefungwa na JK. Sintoshangaa kama toto hatajaribu destabilization moves dhidi yetu na upuuzi mwingine ile arejeshe kono lake mkebeni aendelee kukomba sukari ile. Assassinations anazofanya dhidi ya wapinzani wake ni personal, typical of dictators, miungu watu. Kuna kila sababu ya kuhakikisha upuuzi wake is curtailed. After all toto jinga laweza kukutoboa macho ukicheza nalo
 
Wakati wengine wakimuombea balaa,pk anaendelea kuchapa kazi kwa manufaa ya wananchi wake.

Kagame shares post-Genocide experience in US

1392344180n1.jpg
President Kagame speaks at the Los Angeles World Affairs Council on Wednesday. Village Urugwiro.
Rwandans have moved beyond mere survival and are now more determined than ever to pursue a prosperous and dignified future, President Paul Kagame has said.
Kagame was on Wednesday giving a keynote speech at a major conference in Los Angeles, California in the United States, which attracted leaders from both the private and public sectors.
“Twenty years ago we sank to the very bottom; observers considered Rwanda a failed state and predicted it would remain so. For people of Rwanda, that was not an option.
“We had to move upwards and do it together. It’s about restoring life, hope and the President told his audience, according to a statement from the President’s office.
In 1994, Rwanda suffered one of the worst genocides in human history, losing more than a million of its people in the process.
The annual summit, dubbed the Los Angeles World Affairs Council, was initiated in 1953 with the objective of presenting speakers to “help Americans better understand the outside world and America’s role on the global stage”.
Stressing Rwanda’s commitment to draw from its own context to provide solutions to its challenges, President Kagame shared the example of the Gacaca justice system. “In ten years, Gacaca tried two million cases for less than one billion dollars. The UN funded International Criminal Tribunal (for Rwanda) tried 60 cases in 19 years at a cost of two billion dollars.”
The keynote speech was followed by an interactive session where topics discussed included Rwanda’s vision for the future and peace and security in the region.
President Kagame cited prosperity, stability and peace and security as top priorities for Rwanda’s future. “When we look around the world, in some places prosperity has been taken for granted. The question is why shouldn’t this be possible for others? We believe it is possible for Rwanda and Africa.”
The Head of State also emphasised the importance of regional integration and continental cooperation. “I don’t think of Rwanda out of the African context. Rwanda is not and cannot be an island. I wish for the rest of Africa what I wish for my country.”
Earlier in the day, Kagame toured the Shoah Foundation where 50, 000 testimonies of genocide survivors are preserved, including testimonies of survivors of the Genocide against the Tutsi in Rwanda.
Prior to addressing the Los Angeles World Affairs Council, President Kagame also held an interactive session with over 40 high school students.
The President was expected to continue his tour of California in San Francisco where he was to address the Wisdom 2.0 Conference on the socio-economic transformation of Rwanda, his office said.
The conference was expected to attract over 2000 leaders in several fields, including technology to politics, media and private sector to discuss the role of technology in transforming lives.
Contact email: editorial[at]newtimes.co.rw
Acha longo longo za PK, kama uko DSM nenda ukajionee uongo wa kijigazeti chako pale RENZO na VIRAGO.
 
Haya yanayotungwa na News of Rwanda ni propaganda za kitoto, very amateurish. Hadanganyiki mtu mwenye uwezo wa kuona mbali. Kwani inaposemekana Rwanda imepiga hatua kubwa za kimaendeleo haiwezekani kwamba wenye macho hatujui jinsi gani wizi wa madini ya Kongo ume-finance mambo yao? Uganda je?
Kama toto dogo lililozoea kufunua mkebe wa sukari na kuiba humo, mkebe sasa umefungwa na majeshi yetu. Kwa hiyo kama ni hasira, basi dogo ambaye ni kubwa jinga Kagame amesheheni nazo. Mkebe wa sukari umefungwa na JK. Sintoshangaa kama toto hatajaribu destabilization moves dhidi yetu na upuuzi mwingine ile arejeshe kono lake mkebeni aendelee kukomba sukari ile. Assassinations anazofanya dhidi ya wapinzani wake ni personal, typical of dictators, miungu watu. Kuna kila sababu ya kuhakikisha upuuzi wake is curtailed. After all toto jinga laweza kukutoboa macho ukicheza nalo

Yaweza kua propaganda za uongo,lakini hizo Assassinations unazo sema unaweza kuzilinganishaje na watanzania wanouwawa kwa kupwewa sumu kila kukicha na hata wengine kufa vifo vya kutatanisha nafikiri wewe assassination ina maana kutumia bunduki,kisu na kamba.so msitake kuonyesha kwamba pk ni mtu mbaya kuzidi jk.
Kuhusu maendeleo ya rwanda ni mipangilio mizuri tu na ndio sababu prof MARK MWANDOSYA yuko kigali kuelimishwa hiyo mipangilio,nafikiri kama ingekua kufundishwa wizi asingekwenda kigali,naamini ukweli mnaujua ila mnaukwepa,PK ni kichwa kile hata wazungu wanamgwaya.
 
Kweli PK ni kichwa hata mimi yako mambo namkubali ila asifike mbali linapokuja suala la kudeal na Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
the tutsi again....why don't you leave tanzania alone??... We need to be very careful with tutsi (calling themselves ha, hangaza and the like) holding some high level positions in the country, some of who are members of parliament..

ndo maana nasisitiza kwamba hatuko salama kama tunavyofikfiri......hawa jamaa wameshatuzunguka kimtindo
 
Kweli PK ni kichwa hata mimi yako mambo namkubali ila asifike mbali linapokuja suala la kudeal na Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

PK hana haja ya kudeal na Tanzania kwani yeye anamambo mengi yakufanya kwa nchi yake,sasa tanzania inakujaje?katika mikakati ya maendeleo unakua na lengo na katika safari lazima utapambana na vikwazo,na kuna vikwazo ambavyo havizuiliki na kunavile vinaweza zuilika,sasa kikwete amekua kikwazo kwa rwanda kwa kutaka ku interfere mambo yake yandani,sasa rwanda inaweza ku avoid by majadiliano na tanzania, ikishindikana hata kwa nguvu,huwezi ingilia mambo ya nchi nyingine iliyo huru,na kama ni kisingizio cha kongo acha kongo iombe hivyo,kwani kongo ina mengi ya kujibu kwa rwanda,lakini kama unataka kujifanya gangwe kwamba unaweza ongea onbehalf of kabila basi be ready kwa lolote,mfano pk hawezi mwambia kikwete aongee na CHADEMA wakati chadema hawajadai hivyo wala tanzania haijakosa uwezo wa kudhibiti tatizo lolote la kisiasa,imagine unatoa silaha kwa waasi na kupanga mpango wakushambulia rwanda halafu kwa upande mwingine unajifanya kutoa ushauri,huo tunauita unafiki.
 
Aaah! Mkuu naona waongea sn! Inaonekana haya mambo wayajua vizuri!

Ebu nijulishe na Mimi huo unafiki Uko vipi kwa Kiongozi wetu?

Alafu maswala ya DRC Wewe ulitaka DRC yenyewe iyashughulikie yenyewe?
 
Unafiki uko hivi;wakati kikwete ana shauri kwamba rwanda iongee na FDLR yeye na wenzake Kabila,Zuma,na france walikua wamekubaliana kuisaidia FDLR kuingia rwanda,na kumbuka FDLR ilikua imedhoofishwa kijeshi na rwanda haikua tishio sana,lakini hao jamaa waliwakusanya FDLR kutoka nchi mbalimbali walizo kimbiliamo na kuwahami tayari kushambulia,JK alijua ushauri wake huwezi pokelewa vizuri na alitaka kuonyesha FDLR ni jeshi lenyenguvu ambalo halikushindwa,wakati rwanda wanajua halina nguvu,na usiku huo walishambulia ili ku confirm yaliyosemwa na jk,bahati ilikua mbaya kwao na hakuna aliyerudi kutoa story,so msihadaike na maneno mazuri ya jk,ndani yake ni mtu mwingine.
 
Ok Ebu Jaribu kuweka bayana hayo mataifa yanawasaidiaje hao waasi Wa FDLR?
 
Nitakueleza,france wao wanatoa silaha na kuipigia debe FDLR katika media mbalimbali za kimataifa,na kuchomeka watu ndani ya UN wakufanya report mbaya dhidi ya rwanda,kikwete yeye ni ku organise wapinzani wa rwanda na kuwapatia silaha,zuma ana msaidia kikwete,kabila anatoa accomodation na training pamoja na silaha,lakini yote hii nikutimiza agenda ya watu wa magharibi wasiotaka utawala wa kigali,ingawa vile vile zuma naye anamasilahi congo.
 
mijitu mingine bwana ,yaani sijui wanajionaje kusema uongo !mama kikwete yupo eneo hili-mndengereko,matumbi mnyagatwa au mtondi all in all anatokea rufiji mjomba wake alikuwa mwenyekiti wa wazee mkoa wa dar es salaam (Late Kassim Liyogope R.I.P and very close to late JK nyerere(nyepesi nyepesi mzee liyogope ndio mojawapo wa watu waliomtoa tongo tongo JKN.sasa mleta uzi sijui huo unyarwanda wa mama kikwete anautoa wapi. familia yake unawapata mabagala,magomeni manzese mbwera rufiji,msomeni ,mdai ,muhoro,mafia yaani huyu mama ni mpwani pwani hasa sijui mleta mada na wamarekani wako umepata wapi nasibu hii ya rwanda kwa huyu mama!punguzeni uzushi!
 
PK hana haja ya kudeal na Tanzania kwani yeye anamambo mengi yakufanya kwa nchi yake,sasa tanzania inakujaje?katika mikakati ya maendeleo unakua na lengo na katika safari lazima utapambana na vikwazo,na kuna vikwazo ambavyo havizuiliki na kunavile vinaweza zuilika,sasa kikwete amekua kikwazo kwa rwanda kwa kutaka ku interfere mambo yake yandani,sasa rwanda inaweza ku avoid by majadiliano na tanzania, ikishindikana hata kwa nguvu,huwezi ingilia mambo ya nchi nyingine iliyo huru,na kama ni kisingizio cha kongo acha kongo iombe hivyo,kwani kongo ina mengi ya kujibu kwa rwanda,lakini kama unataka kujifanya gangwe kwamba unaweza ongea onbehalf of kabila basi be ready kwa lolote,mfano pk hawezi mwambia kikwete aongee na CHADEMA wakati chadema hawajadai hivyo wala tanzania haijakosa uwezo wa kudhibiti tatizo lolote la kisiasa,imagine unatoa silaha kwa waasi na kupanga mpango wakushambulia rwanda halafu kwa upande mwingine unajifanya kutoa ushauri,huo tunauita unafiki.

We bwana mdgo ushauri aliopewa PK sio kuingilia mambo ya ndani ile ni "advice" hutaki unaacha wanaongilia mambo ya ndani angalia Syria, Iran, Libya, & the likes sasa ushauri unaanzaje kulalamka unaingiliwa..?? Kikwete mwenyewe anapewa ushauri kila siku anakosolewa kila siku kawaita wapinzani ikulu kaongea nao we MUKAMA unazungumzia habar ya Kikwete kuongea na CHADEMA kashafanya hilo mimi sio mwanasiasa sitaki kuingia ndani ya hayo. Assad, Silva wa South Sudan, Serikali ya Colombia, Serikali ya Angola na sehem nying tu duniani wamepewa USHAURI wa kuongea na waasi na wamefanya hivyo na matunda ya amani ya kudumu yameonekana huyu PK ndio nani mpka asiguswe..?? Asishauriwe..?? We MUKAMA weka mapenzi pembeni rely on truth and facts.
Tunakuja kwann apewe ushauri..??
1. Tatizo la usalama wa Rwanda linaigharibu Tanzania pia kwa kupokea wakimbizi.
2. Wakimbizi wamekua wakidhoofisha hali ya Usalama na Mali za Raia wa Tanzania hivyo kutibu tatizo ni kuhakikisha Tanzania na majirani zake wanakua salama muda wote na alichoambiwa Kagame ni kudumisha hali ya Usalama kama hataki anaacha tu taratibu ule ni ushauri.
3. Tatizo la usalama wa Congo na eneo la maziwa makuu linaigharimu Tanzania pia kwa kudhoofisha miundombinu ya Kibiashara hivyo TZ ina haki ya kusema lolote kulinda maslahi yake halali.
Njoo hapa na facts km una ubishi ubishi wa kipumba.vu wasubiri wapumba.vu mi sio mmoja wao.
 
Nitakueleza,france wao wanatoa silaha na kuipigia debe FDLR katika media mbalimbali za kimataifa,na kuchomeka watu ndani ya UN wakufanya report mbaya dhidi ya rwanda,kikwete yeye ni ku organise wapinzani wa rwanda na kuwapatia silaha,zuma ana msaidia kikwete,kabila anatoa accomodation na training pamoja na silaha,lakini yote hii nikutimiza agenda ya watu wa magharibi wasiotaka utawala wa kigali,ingawa vile vile zuma naye anamasilahi congo.

Kwanini France awe anaufatafata huo utawala Wa Kigali? Kuna tofauti gani Kati ya France na Kigali?

Ni propaganda ipi mbaya inayoenezwa na UN? Au ni kuhusu kuuwawa wapinzani Wa PK walioko nje na ndani na kukandamiza demokrasia ndani ya Rwanda?
 
Haya maelezo ni uzushi na uhuni mtupu.

Nimesoma comment zako kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna ukweli ndani yake uzushitu,hayo ya askali hayajawahi tokea,kuhusu ushauri KAGAME ndiye mtu mwenye washauri wanaoheshimika kimataifa,sasa kusema ni kichwa ngumu huo ni uongo,siyo kila mtu atoaye ushauri lazima ukubalike,sasa tatizo kikwete baada ya ushauri wake kukataliwa anataka kulazimisha,mambo hayaendi hivyo,ushauli ulikataliwa sasa chokochoko za nini? tatizo lenu mnajiamini sana kwamba mko taifa kubwa kwamba mnaweza shinikiza rwanda ifuate mnayo yataka,hapo mmejidanganya rwanda ni nchi inayo pokea ushauri wenye manufaa kwa wananchi wake sio kupokea kilakitu.
 
Mkuu Uko kwa ajili ya kutetea Au kuoneza propaganda za Kigali tu!

Tanzania hailazimishi muupokee ushauri wake! Na pia haingilii mambo ya Kigali.

Hao washauri unaowasifia Wewe ni wazuri! Ni kwamba wanafanya kazi kwa maslahi ya Kigali na Kagame tu! Wala Si kwa Wanyarwanda wote!
 
mossad007, dogo achakudanganya watu hapa,kuingilia mambo ya ndani ni kujaribu kugeuza mipangilio ya mtu kwake,kwanza rwanda inautaratibu wake wakurudisha wanyarwanda nchini rwanda,iliweza kuwarudisha wakimbizi zaidi ya milioni mbili kutoka congo,FDLR zaidi ya elfu kumi,na mpaka leo wanarudi bila ya msaada wa kikwete,sasa leo jamaa anachomoka sehemu anakwambia naona unayoyafanya sivyo inabidi ukae nao muongee,tena na genociders,ambao wameshindwa vile vile,hiyo ni kama kupatia award mauaji ya kuangamiza rwanda,hao inabidi waje watubu na sheria zichukue mkondo wake,nafikiri kama hilo panga linge pitishwa bagamoyo kikwete asingekua anashauri hivyo,kwa sababu walifanya maovu mungu aliwatia mikononi mwa wakombozi na ni aibu mbele ya mungu kuwachukua waovu katika nchi takatifu bila kutubu dhambi zao na kupewa huruma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Uko kwa ajili ya kutetea Au kuoneza propaganda za Kigali tu!

Tanzania hailazimishi muupokee ushauri wake! Na pia haingilii mambo ya Kigali.

Hao washauri unaowasifia Wewe ni wazuri! Ni kwamba wanafanya kazi kwa maslahi ya Kigali na Kagame tu! Wala Si kwa Wanyarwanda wote!

Wewe hujui lolote la baba yako jk,nafikiri kama ingekua ushauri tu lisinge kua tatizo,ila kuna mengine yaliyo behind that advice,ndiyo yanayoendelea kuleta matatizo.
Nakuhusu washauri nafikiri rwanda hupokea ushauri wenye manufaa kwa wanyarwanda,lakini ile ya jk ilikua kwa manufaa ya FDLR hakuna lingine,na kikwete hatafanikiwa kamwe kwa njia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom