MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Wewe utaongea sn Leo!
Mwambie kiongozi wako akawaombe msamaha wale waliompa nchi. Maana imekua ni kawaida kwa Kigali ikikosolewa tu basi inakuja juu na kutoa kauli za ajabu!
Kuna habari nyingi mno kuhusu Kiongozi wako tangu alivyo Kua anaitaka Hiyo nchi mpk sasa Yeye na Yule mnaemuita Kaka mkubwa Yani Mu7.
Mwambieni PK akawaaombe radhi Wamarekani na Waingereza ndo waliompa nchi!
Duh!awapigie magoti kwalipi?waliomwaga damu si wamarekani au waingereza ni watoto wa kinyarwanda,nahiyo tabia ya watanzani kupigia magoti wakoloni ndio inawapa amani na kuwaacha masikini,na siku mtajaribu kusimama peke yenu mtaona jinsi mtakavyo sambaratika yani mtakua zaidi ya DRC,huo upuuzi wanyarwanda hawautaki,najua watapambana na hizo dhoruba lakini watashinda,usipokua jasili huwezi kwamua raia wako katika umasikini na ujinga.