Aziz Ki, Musonda,Hivi bongo ni timu IPI umenunua mchezaji Kwa kuvunja mkataba na timu aliyopo.
Muongezee pacome, Maxi,diarra,yao yao,Aziz Ki, Musonda,
Mchezaji mzuri kumpata free agent ni ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoHebu tulieni bana bado hajacheza mmeshaanza kumpa jakamoyo...
Kalabaka, ChasambiHivi bongo ni timu IPI umenunua mchezaji Kwa kuvunja mkataba na timu aliyopo.
simba walipewa $ 1m kwa ajili ya maandalizi ya african football league, jiulize hizo pesa zilienda wapi.......Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri.
Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna.
Siku hizi wanachezesha kamari ya shabiki bingwa muda sio mrefu ukweli utajulikana.
Yaani haieleweki..simba walipewa $ 1m kwa ajili ya maandalizi ya african football league, jiulize hizo pesa zilienda wapi.......
yani $ 1m usajili waliofanya sijui kama walitumia hata tshs 300m,....... pale simba kuna wahuni wanapiga sana pesa!
Kwahiyo timu haina matumizi mengine ya pesa ziko tu kwa ajili yakusubiri usajili.Kuendesha timu sio kitu rahisi kama tunavyofikiria.simba walipewa $ 1m kwa ajili ya maandalizi ya african football league, jiulize hizo pesa zilienda wapi.......
yani $ 1m usajili waliofanya sijui kama walitumia hata tshs 300m,....... pale simba kuna wahuni wanapiga sana pesa!
Aziz Ki, Yao na Pacome walikuwa free agentMuongezee pacome, Maxi,diarra,yao yao,