Kuna kitu wana JF hawakijui?

Wengine tunajua mpaka tofauti ya kweri na kweli.
Tofauti kati ya kweri na kweli:-
Kweri (kwa kimasai ni query)ni mashaka au wasiwasi katika mahesabu ya kifedha inapokuwa hakuna maelezo na viambatanisho vya kutosha kuthibitisha kilichoandikwa.
Kweli ni jambo lisilo na mashaka na ni lenye kuaminika kwa uhakika.
Hizo ndo tafauti zake au sio broo?
 
Kazi kweikwei mgoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…