Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

Sema we jamaa unahangaika sana, chuki na wivu vimeathiri kabsa maisha yako. Huenda hata huko mtaani kwenye maisha yako ya kila siku unaishi ivyo. Itakutesa sana Mzee. Maisha ni kuenjoy, furahia moments zako bila kuwaza ya jirani yako. We kila siku unawaza vitu negative kuhusu wenzako wakati huo wenzako wanapiga hatua bila kukuwazia wewe mwisho wa siku unaishia kuumbuka vibaya. Utani wa jadi mwenzio akiharibu mcheke, mzomee na mzodoe kidogo then endelea kupambania upande wako. Yani tumia muda mwingi kuweka sawa upande wako then ule kidogo unaobaki ndo uutumie kumzodoa mwenzio anapoharibu. Sasa wewe kwako ni tofauti, kila siku unakuja na nadharia mpya tu kuhusu Yanga wakati hao Yanga wanasonga mbele tu.Jifunze kukubali uwezo na maendeleo ya wenzako maisha yanabadilika kila siku otherwise kila siku watu watakua wanakuprove wrong unaonekana juha tu. Relaaaaaaax and Enjoy
 
Makolo, machawi fc kutwa kuanzisha nyuzi za kishirikina tu. Kama ushirikina ni wa maana sana mngeishachukua makombe ya Afrika. Mlichoma uwanja wa watu bado mkapigwa, basi lilirudi kinyume nyume zaidi ya kilometers 50 bado hamna kitu. Jifunzeni kufanya usajili mzuri, muongeze usajili kuleta ushindani.
 
Back
Top Bottom