Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

Kuna haha ya kuongeza neno hapa?

Kwa hakika serikali ijitafakari.
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
 
Akili hana huyo mbunge chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandai
Wewe mwenyewe ndio huna akili.

Kwani ni kosa kwenda mahakamani kusikiliza kesi kama chumba kitajaa watu wangekaa nje wakichoka na jua wakaondoka. Ndio sheria gani policcm kuteka watu na kuwapiga na kuwaumiza? Nyinyi ccm hamna adabu hata kidogo.
 
Akili hana huyo mbunge miinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Wangeingia hao 50, wengine wangekaa nje.
 
Wewe mwenyewe ndio huna akili.

Kwani ni kosa kwenda mahakamani kusikiliza kesi kama chumba kitajaa watu wangekaa nje wakichoka na jua wakaondoka. Ndio sheria gani policcm kuteka watu na kuwapiga na kuwaumiza? Nyinyi ccm hamna adabu hata kidogo.
Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika

Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama

waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama

Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa

Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
 
Kuna haha ya kuongeza neno hapa?

Kwa hakika serikali ijitafakari.
Mwanadamu anapokaribia kukata roho na akiwa ni mtenda dhambi, makosa, uovu huwa macho yanamtoka pima, anapiga makelele, anarusha miguu na mikono ataropoka uovu aliowafanyia watu. Kuna aina ya utawala inakaribia kukata roho Tanzania na hivyo kuna vitu utawala huu wamefanya, wanafanya, wataendelea kufanya ambavyo watu watashangaa sana.
 
Wangeingia hao 50, wengine wangekaa nje.
Mawakili wa Lisu walikuwa 40 wa serikali walikuwa watano ,kutoka Kenya wakiongozwa na Wakili Martha Kalua walikuwa watatu, watu wa Amnesty International walikuwa wawili

Hao wengine wangeingia wapi?.labda?
 
Wamemfunga Lissu kwa kumpa Uhaini ila wao ndiyo wanateseka. tulishasema CCM hamna chama humo sasa mmeamini?

Na bado dadeq.
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Sheria gani inazuia watu kuwepo kwenye viwanja vya mahakama?
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Wewe ndo mjinga tupu

Umeshindwa kutanabaisha ile sheria inayozuwia watu kwenda mahakamani, kwa ujinga wako umeishia kumshambulia badala ya kujibu hoja

Nyinyi masisiyemu ni bure kabisa
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Wakati mnamtengezea hayo mashtaka yenu ya mchongo mlitegemea atakuwa peke yake? Wekeni sawa mazingira wananchi wote wahudhurie, na pia dunia ishuhudie uongo wenu.
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Wewe ndio mpumbavu,walikwambia wote Wanaoingia chumba Cha Mahakama?Hoja za kitoto acha mkuu!
Mawakili wa Lisu walikuwa 40 wa serikali walikuwa watano ,kutoka Kenya wakiongozwa na Wakili Martha Kalua walikuwa watatu, watu wa Amnesty International walikuwa wawili

Hao wengine wangeingia wapi?.labda?
Hata mpumbavu akinyamaza, huonekana ana Hekima,jifunze kunyamaza, Akili hii ni kijinga na kipumbavu sana Mkuu!
 
Jaji Warioba amesema enzi zake kama kesi ina public interest walikuwa wanaongeza eneo ili Watanzania wengi waende kusikiliza.
 
Back
Top Bottom