Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

Mtu yeyote asiye na akili yupo kama wewe unampambania abdul aendelee kuifaidi rasilimali za tanganyika sio! Haya wewe unafaudika na nini mjomba?
Nafaidika na amani na utulivu unaoniwezesha kufanya mambo yangu ya kutafuta hela bila mavurugu
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
wewe ndo huna akili ,unaelewa nn kuhusu mahakama ya wazi
 
Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika

Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama

waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama

Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa

Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
Huyu ndio wewe uliyekuwa unapiga sarakasi watu wazuiliwe hata kufika mahakamani.

Na unajaribu kupiga reverse kwa aibu eti ulikuwa sio miongoni mwa wanaotaka watu wapigwe kwa kwenda kusikiliza kesi mahakamani.

Unajisikiaje leo hata akina Mwangi mliowapiga na kuwazuia kusikiliza hii kesi wanaisikiliza na kuona wakiwa kwao?
 
Usiwe jinga hivi, leo wamewezaje bila kupiga watu ? Kwanini?
 
Huyu ndio wewe uliyekuwa unapiga sarakasi watu wazuiliwe hata kufika mahakamani.

Na unajaribu kupiga reverse kwa aibu eti ulikuwa sio miongoni mwa wanaotaka watu wapigwe kwa kwenda kusikiliza kesi mahakamani.

Unajisikiaje leo hata akina Mwangi mliowapiga na kuwazuia kusikiliza hii kesi wanaisikiliza na kuona wakiwa kwao?

Tunayo majinga mengi na ya kila sampuli:

Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine kuwaitisha watu kujitathmini wenyewe hakuwezi kuwa jambo la kupuuzwa!

Au nasema uongo?
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Mahakamani ni pamoja ni uwanja wa Mahakama.
Ulisikia Mahakama ikitoa katazo watu wasiende Mahakamani? Katika eneo la Mahakama ni Jukumu la Jeshi la Magereza, Je, tangu kesi ya Tundu Lissu imeanza umewahi kusikia Askari Magereza wamegusa hata raia mmoja? Unajua Jeshi la Magereza wana Kikosi Chao cha kuzuia vurugu na ni matata sana hicho, umewahi kusikia kimeletwa pale kupurukushana na raia?
 
Back
Top Bottom