Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

mambo ya ajabu kabisa yaani mumkamate wenyewe,mashtaka mmetunga wenyewe alafu eti wanaogopa kumpeleka mahakamani ili mkayadhibitishe hayo mashtaka yake na apate adhabu..au hawana mashahidi..na mbaya zaidi walivyosikia mabalozi na wawakilishi wa kimataifa watahudhuria basi ndio wamedata balaa ndio chanzo cha hekaheka na sarakasi zote hawataki kumleta mahakamani,hawataki wananchi wala muandishi wa habari akanyage mahakamani.! wanataka mambo yote yawe gizani kama vikao vya wachawi vile kwa faida ya nani hasa.!
 
kijana huna haja ya kuropokea wadau wasio husika tafadhali :putinWalk:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Mwanadamu anapokaribia kukata roho na akiwa ni mtenda dhambi, makosa, uovu huwa macho yanamtoka pima, anapiga makelele, anarusha miguu na mikono ataropoka uovu aliowafanyia watu. Kuna aina ya utawala inakaribia kukata roho Tanzania na hivyo kuna vitu utawala huu wamefanya, wanafanya, wataendelea kufanya ambavyo watu watashangaa sana.

Gg82IK3bcAA-UBm.jpeg
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
We mpumbavu kweli kweli.
Kwani mahakama ni majengo!?
 
Wewe mjinga umem
Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika

Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama

waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama

Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa

Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
We mjinga umemsikia Jaji Warioba kwenye hotuba yake ya leo jinsi miaka yote imekuwa ikifanyika kukiwa na kesi yenye public interest?
 
Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika

Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama

waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama

Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa

Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
Wewe ndiye uliyetuma sheria kwamba watu wasiwepo nje wakati kesi inaendelea ndani kama watu wamejaa au ni ujinga wako na hisia zako mbovu ulizomezeshwa huko lumumba kukataa ukweli wa mambo? Wacheni ujinga na kutetea vitu visivyohalali hii dunia utaiwacha na hakuna atakaekuja kukulia kwasababu ya kufa kwako.
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Wewe ni mjinga kweli kweli.
 
Jinga wewe!
 
Kwani walikwambia wanataka waingie ndani? Hata juu ya miti wanasimama. Ni uhuru wao. Kwani wanakwenda kumtoa hakimu kwenye kiti chake?

Hawa ndio wasomi wa CCM.
 
Kesi isikilizwe uwanja wa Taifa kama chumba Cha mahakama ni ndogo. Wengine hatuna computer au simu Janka. Hatuna bando nk.
 
Kwani walikwambia wanataka waingie ndani? Hata juu ya miti wanasimama. Ni uhuru wao. Kwani wanakwenda kumtoa hakimu kwenye kiti chake?
Walipigwa baada ya kung'ang'ania kuingia

Wapande kwenye miti? Ni ya kwao waliyopabda? Kama sio yao ni kosa.Huwexi kwenda tu kupanda juu ya mti wa mtu bila ridhaa yake
 
Walipigwa baada ya kung'ang'ania kuingia

Wapande kwenye miti? Ni ya kwao wakiyopabda? Kama sio yao ni kosa.Huwexi kwenda tu kupanda juu ya mti wa mtu bila ridhaa yake
Na wale walioshushwa kwenye magari wakiwa jangwani walikuwa na kosa gani?
 
Kuna haha ya kuongeza neno hapa?

Kwa hakika serikali ijitafakari.
chumba kina nafasi ya watu 50, mawakili wa lisu 40+ mawakili wa serikali 20+ maafisa magereza+polisi+makarani wa mahakama. hawa wote wangekaa wapi?

ikumbukwe kulikuwa na mashauri mengine yanaendelea kwenye chember zingine nawao walikuwa na wahudhuriaji.

wengine walikamatiwa nje ya mahakama wakiwa wamejibanza kwenye maduka ya watu.

heche alikuwa anahamasisha watu wajitokeze nchi nzima waende mahakamani, kweli wangeitikia wakaja watu milioni mbili wangeweka spika nje? waliziandaa?

ili kila mtu ashiriki wameweka mahakama mtandao kila mtu asikie apate mwenendo wa kesi hamtaki.

basi tufuate ushauri wa warioba kesi isikilizwe gerezani.
 
kweli watu wako kwenye mafuso wanahamasishana na kuimba nyimbo, hawa si waandamanaji?
Mbona hamkamati vichaa huko barabarani au ombaomba au machinga wanaosumbua waendesha magari kwenye mataa?

Basi hata wanaotoka kanisani ni waandamanaji.

Waliopo masokoni ni waandamanaji au?

Wanaokwenda kuzika ni waandamanaji.

Wale waliokuwa wanaimba wapinzani wakifa wakatupwe mtoni waliwe na mamba .

Katiba yetu inatuongoza hivya hivyo au?
 
Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania

Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Mtu yeyote asiye na akili yupo kama wewe unampambania abdul aendelee kuifaidi rasilimali za tanganyika sio! Haya wewe unafaudika na nini mjomba?
 
Back
Top Bottom