kijana huna haja ya kuropokea wadau wasio husika tafadhaliAina hizi za akina Lucasi au Tlaa'tlaah hoja wazitoe wapi?
imhotep na wale ndugu waliotuchelewesha , au wale wengine nasema uongo?
Ndiyo huyu shotocan? Ana nywele lainiii
Mwanadamu anapokaribia kukata roho na akiwa ni mtenda dhambi, makosa, uovu huwa macho yanamtoka pima, anapiga makelele, anarusha miguu na mikono ataropoka uovu aliowafanyia watu. Kuna aina ya utawala inakaribia kukata roho Tanzania na hivyo kuna vitu utawala huu wamefanya, wanafanya, wataendelea kufanya ambavyo watu watashangaa sana.
We mpumbavu kweli kweli.Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
We mjinga umemsikia Jaji Warioba kwenye hotuba yake ya leo jinsi miaka yote imekuwa ikifanyika kukiwa na kesi yenye public interest?Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika
Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama
waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama
Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa
Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
Wewe ndiye uliyetuma sheria kwamba watu wasiwepo nje wakati kesi inaendelea ndani kama watu wamejaa au ni ujinga wako na hisia zako mbovu ulizomezeshwa huko lumumba kukataa ukweli wa mambo? Wacheni ujinga na kutetea vitu visivyohalali hii dunia utaiwacha na hakuna atakaekuja kukulia kwasababu ya kufa kwako.Nje wanasikiliza kesi gani hakuna spika kuwa kesi fulani watu wakae nje kusikikiliza kwenye spika
Sababu pale kuna kesi nyingine huendelea vyumba vingine vya mahakama.Hawahitaji watu wajae na miyowe nje ya mahakama
waliikuwa wakipiga makelele hata wakiwa nje ya lango la mahakama kuleta usumbufu wa kelele kwa mahakama
Mahakamani huwa hakutaki kelele kabisa ndio maana hata kwenye mafunzo ya udereva hufundishwa wazi kabisa kuwa usipige honi maeneo ya vituo vya polisi,Hospital na Mahakamani. Ni kosa
Sasa wale walikuwa wakipiga makelele ku sumbua utulivu wa mahakama
Ni hajabu hata ndugu yake wakili na nduguze wamezuiwa ati!!!Mbona hujibu hoja zake badala yake unajianika kwa ujinga wako?
Sheria ipi inazuwia watu kwenda mahakamani kusikiliza kesi?
Wewe ni mjinga kweli kweli.Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Jinga wewe!Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Kwani walikwambia wanataka waingie ndani? Hata juu ya miti wanasimama. Ni uhuru wao. Kwani wanakwenda kumtoa hakimu kwenye kiti chake?Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Kesi isikilizwe uwanja wa Taifa kama chumba Cha mahakama ni ndogo. Wengine hatuna computer au simu Janka. Hatuna bando nk.Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko
Walipigwa baada ya kung'ang'ania kuingiaKwani walikwambia wanataka waingie ndani? Hata juu ya miti wanasimama. Ni uhuru wao. Kwani wanakwenda kumtoa hakimu kwenye kiti chake?
Na wale walioshushwa kwenye magari wakiwa jangwani walikuwa na kosa gani?Walipigwa baada ya kung'ang'ania kuingia
Wapande kwenye miti? Ni ya kwao wakiyopabda? Kama sio yao ni kosa.Huwexi kwenda tu kupanda juu ya mti wa mtu bila ridhaa yake
chumba kina nafasi ya watu 50, mawakili wa lisu 40+ mawakili wa serikali 20+ maafisa magereza+polisi+makarani wa mahakama. hawa wote wangekaa wapi?
kweli watu wako kwenye mafuso wanahamasishana na kuimba nyimbo, hawa si waandamanaji?Na wale walioshushwa kwenye magari wakiwa jangwani walikuwa na kosa gani?
Mbona hamkamati vichaa huko barabarani au ombaomba au machinga wanaosumbua waendesha magari kwenye mataa?kweli watu wako kwenye mafuso wanahamasishana na kuimba nyimbo, hawa si waandamanaji?
Mtu yeyote asiye na akili yupo kama wewe unampambania abdul aendelee kuifaidi rasilimali za tanganyika sio! Haya wewe unafaudika na nini mjomba?Akili hana huyo mbunge mjinga tu chumba cha mahakama kinatosha watu hamsini tu mawakili wa Lisu 40 bado wa serikali, bado mashahidi,bado waandishi wa habari bado ndugu, wanaingiaje wote Chadema toka mikoa yote Tanzania
Ndio maana mahakama kutatua hilo tatizo wakasema kesi isikilizwe kupitia mtandao kila mtu aingie huko