Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mbowe naye alienda mafunzoni Somalia?Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.
My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Wa kuthibitisha kwamba kuna vijana wengi wamejiunga na ugaidi. Hayo maelezo yako yanatakiwa yawe na ushahidi.Unataka ushahidi gani?
Mimi nitajuaje?Mjinga nani Kati yangu na wewe.
Ushahidi wa namna gani?Wa kuthibitisha kwamba kuna vijana wengi wamejiunga na ugaidi. Hayo maelezo yako yanatakiwa yawe na ushahidi.
Nimetaja mikoa iliyotoa vijana kwa wingi, ila hata Mwanza imo.Mwanza je ?!
Kama huna jibu wala ushahidi ni vyema unyamaze tu.Ushahidi wa namna gani?
Tafakari na chukua hatua, ili ujipatie jibu sahihiMimi nitajuaje?
Acheni uonevu ,hamtaishi kwa uoga kama mnatupa,mnaji..dia porini.Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.
My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Sidhani mfumo utamruhusu kuutibua,tangu enzi ya vita vya mslaba kanisa katoliki halijawahi kukubali kushindwaHawa vijana walidanganywa kuna mfumo wa Kikristo unawaonea waislam. Sasa rais wetu ni muislamu na anaupiga mwingi sana upande wa pili. Magaidi wakituzingua watakuwa wanatuonea maana wamepata walichokuwa wanataka.
Akina nani kwa mfano?Jeshi la police lianzie na wale wanaoneza chuki mtandaoni
Ushahidi upo ila wewe huwezi kujua sababu upo mbali na dunia.Kama huna jibu wala ushahidi ni vyema unyamaze tu.
Suala la uonevu na vijana kwenda Somalia kujiunga na Al shabab halina link.Acheni uonevu ,hamtaishi kwa uoga kama mnatupa,mnaji..dia porini.
Tungepata watu kama hawa kumi tu Tanzania nzima, maisha ya mnyonge yangekuwa matamu sana. Hongera sana mama. Umeongea kwa hisia Kali mpaka mimelengwalengwa na machozi! Hongera sana mama. Mungu akuzidishie!!Huo ndio ukweli Mkuu.View attachment 1909996
Ugaidi ni zao la uonevu, palipo na haki hakuna ugaidi. Hamza si gaidi tafuta aliyesikia madai yake hautasikia siasa ndani yake.Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.
My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Basi sawa ndugu mbambikiajiSuala la uonevu na vijana kwenda Somalia kujiunga na Al shabab halina link.
Sasa uliekuwa duniani jitahidi kutenda haki,kwa kutokuonea,kumbambikia au kumnyanyasa yeyote au kundi lolote hayo yote yatakuwa hayana nafasi.Ushahidi upo ila wewe huwezi kujua sababu upo mbali na dunia.
kwanini mkuu?Kwenye utawala huu WA mama wataongezeka magaidi wengi Sana