Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

Tuweke siasa pembeni. Sasa hivi tz wapo magaidi wengi sana. Na wengine wamejifunza misimamo mikali kisha wanaenda "kujifunza dini".
 
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.

Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.

Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.

My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Mbowe naye alienda mafunzoni Somalia?
 
Acheni uonevu ,hamtaishi kwa uoga kama mnatupa,mnaji..dia porini.
 
Hawa vijana walidanganywa kuna mfumo wa Kikristo unawaonea waislam. Sasa rais wetu ni muislamu na anaupiga mwingi sana upande wa pili. Magaidi wakituzingua watakuwa wanatuonea maana wamepata walichokuwa wanataka.
Sidhani mfumo utamruhusu kuutibua,tangu enzi ya vita vya mslaba kanisa katoliki halijawahi kukubali kushindwa
 
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.

Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.

Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.

My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Ugaidi ni zao la uonevu, palipo na haki hakuna ugaidi. Hamza si gaidi tafuta aliyesikia madai yake hautasikia siasa ndani yake.
 
Adui yetu namba moja ni hawa Polisi-CCM wanaoitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.Tutaendelea kuwaua.

8860003675.jpg

1630045965_1630045965-picsay.jpg
 
Back
Top Bottom