bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Wewe uliyepo karibu na dunia peleka basiUshahidi upo ila wewe huwezi kujua sababu upo mbali na dunia.
Fuatilia mozambiq wengi wanaofanya ugaid ni watzPeleka ushahidi kunakohusika ili wataalamu walifanyie kazi, otherwise ni majungu tu.
Hiyo siyo 'fact', wengi ni 'opinion', bado nasema hakuna ushahidi kama upo upelekwe kunakohusika na watakamatwa fulani na fulani wanaohusika na ugaidi. Lakini hizo sentensi za 'wengi' ni maoni tu.Fuatilia mozambiq wengi wanaofanya ugaid ni watz
Iwapo pooliccm wakiendeleza utamaduni wao sio?kwanini mkuu?
Sijui unajua kuwa wao wanaamini kuwa rais mwislam hawezi kufanya chochote kinyume na "huo mfumo"?Hawa vijana walidanganywa kuna mfumo wa Kikristo unawaonea waislam. Sasa rais wetu ni muislamu na anaupiga mwingi sana upande wa pili. Magaidi wakituzingua watakuwa wanatuonea maana wamepata walichokuwa wanataka.
Hahaha nimekusoma vilivyoKwenye utawala huu WA mama wataongezeka magaidi wengi Sana
Ni kweli tunatakiwa kuwa makini Sana mkuu pamoja na kumuomba Mungu Sana kwa nchi hii.Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.
My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
sure,Iwapo pooliccm wakiendeleza utamaduni wao sio?