Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

Fuatilia mozambiq wengi wanaofanya ugaid ni watz
Hiyo siyo 'fact', wengi ni 'opinion', bado nasema hakuna ushahidi kama upo upelekwe kunakohusika na watakamatwa fulani na fulani wanaohusika na ugaidi. Lakini hizo sentensi za 'wengi' ni maoni tu.
 
Hawa vijana walidanganywa kuna mfumo wa Kikristo unawaonea waislam. Sasa rais wetu ni muislamu na anaupiga mwingi sana upande wa pili. Magaidi wakituzingua watakuwa wanatuonea maana wamepata walichokuwa wanataka.
Sijui unajua kuwa wao wanaamini kuwa rais mwislam hawezi kufanya chochote kinyume na "huo mfumo"?
 
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.

Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.

Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.

My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.
Ni kweli tunatakiwa kuwa makini Sana mkuu pamoja na kumuomba Mungu Sana kwa nchi hii.

Ila huu ujumbe wako, umesahau kuongeza makundi mengine ambayo nayo ni adui wa taifa letu . Kwa mfano

kundi linalo ongeza ama kuleta tozo za miamala na tozo zingine hovyo hovyo bila utafiti wa kutosha kwa wananchi.

Kundi la pili ni lile linalotunga sheria za hovyo kwenye nchi, kwa mfano mtu anashitakiwa kwa kuitia hasara serilikali bilion 5, mwisho wa siku anahukumiwa mahakaman kwa kulipa fain ya milion Saba kwa hasara ya bilions

Kundi lingine kwa usalama wa nchi yetu liko ndani ya Jeshi la Police linalo wabambikia kesi watu za uongo na mwishoe kuleta chuki sana

Makundi hatarishi yapo mengi tu mkuu yanatofautiana degree za viwango.
 
Back
Top Bottom