Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kama umetoa shutuma kwamba Kuna vijana wamelamba asali kumchafua PM vipi na wewe tukisema umepewa asali pia kuja kumsafisha tutakuwa tumekosea ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubadhirifu unamhusu PM au Rais? Unadhani nani alipaswa kujiuzulu kwanza hapo? Kama boss mwenyewe ni mlamba asali?Hao akina Sanga au Mpina na wenyewe wamelipwa kumchafua ?
Kila sehemu ni ubazilifu tu na waziri mkuu upo tu na anaendelea kukalia nafasi iliyomshinda
Nyota ipi unayoizungumzia mkuu ,au kushindwa kitekeleza majukumu yake kama waziri mkuu
Jamaa ni mwongo mwongo saana hawezi kuamnika kwenye jamii iliyostarabika .Ninyi nyote mnaontete a mtakuwa mmekula posho toka kwake na si vingine
Akhsante mwerevu ,maana unahisi unavyotumika wewe sawa na mimi hapanaMkuu hacha kuuaminisha ujinga wako...huyo mnaemtaka awe PM wenu subirini 2025,huyo Mzee kikwete anawatumia vibaya mtabeba sana sembe wajinga nyie!!!
mkuu umekosea, sio watanzania 9 kati ya 10 ndio hawamwelewi chifu, bali ni watanzania 9999 kati ya 10000 ndio hawamwelewi na hawamkubali chifuKama heading inavyojieleza,
Kwa siku hizi mbili nimeshuhudia nyuzi pamoja na post nyingi katika mitandao ya kijamii yenye malengo ya kumchafua Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim wakimtuhumu kuwa ndiye anayemwangusha namba moja.Baadhi ya post zimekuwa zikimtuhumu kwamba amekuwa huchukui hatua pale inapompasa.Binafsi ninasimama upande wa PM kwa hoja zifuatazo,
Kwanza kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT mwenye mandate ya kuteua na kuunda baraza lote la mawaziri ni Rais wa JMT, PM hana mamlaka ya kuteua au kuwajibisha mawaziri, Mwenye mamlaka hayo ni Rais.PM hupatiwa baraza akiwa kama mtendaji mkuu na msimamizi. Hana nguvu ya kuwawajibisha mawaziri kikatiba, ni sawa na kiranja mkuu, hawezi kumfukuza mwanafunzi shule, Mwenye uwezo huo ni mkuu wa shule. Je, kama Mwalimu mkuu hana uwezo kiutendaji wa kuwawajibisha na kuchukua hatua dhidi ya wale aliowateua, PM atafanya nini?
Pili, Kuna ule msemo wanasema "Never outshine your master" ikiwa na maana kwamba kamwe usiwe mtendaji au usitende vyema kumzidi 'boss' wako.Nadhani hiyo ndiyo mindset inayotawala katika serikali kwa sasa.Sote tunafahamu utendaji wa aliyekuwa waziri wa fedha na sasa VP Mh Philip Mpango, alipoingia katika kiti chake alianza kwa spidi kali wengi wakasema anaonekana yeye ndiye Rais lakini sote tunafahamu kilichofuatia, Hatimaye akanywea ghafla na ile kasi yake ikapotea kabisa.Kwa mentality hii ni vigumu kwa PM kutenda kazi zake katika 100% capacity kwa kuhofia kibarua chake.
Tatu, Hakuna asiyejua kwamba hivi sasa genge la walamba asali limerejea kwa kasi kubwa, Aidha Namba moja huenda hafahamu au anafahamu au naye analamba asali pamoja nao. Unapofanya kazi katika mazingira haya inakulazimu kuwa makini mno ili kulinda kibarua chako! Wengi wanafahamu utendaji wa PM na ni wazi kabisa kasi yake ni kubwa hata imani, uzalendo na utendaji wake ni zaidi ya boss wake na namna ya utendaji wake ni tofauti kabisa na Boss wake hivyo inamlazimu kupunguza kasi ili kwenda sambamba.Rejea aliyekuwa spika alipozungumza ukweli sote tunafahamu yaliyomkuta.
Hitimisho, Bila kupepesa macho ni wazi kwamba kati ya awamu ambayo inaonekana kufeli na kutokukubalika miongoni mwa watanzania wengi isipokuwa wale walioweka vidole vyao katika buyu la asali, Ni awamu hii ya Sita.Kwa utafiti usio rasmi, watanzania 9 kati ya 10 wanaonekana kutoridhishwa na utendaji wa serikali iliyopo.Kwa kutambua hili baadhi ya vijana walamba asali wametumwa kumchafua na kumuangushia jumba bovu PM ili kumsafisha namba moja kwa madhumuni ya kisiasa.kuna msemo wa kiswahili "mfa maji haishi kutapatapa " Nadhani mpango wao umeshafeli kwa maana hakuna mtanzania mjinga asiyetambua yanayoendelea. Tangu lini kiranja mkuu akaacha shule kisa wanafunzi wamelala njaa? Katiba imempa madaraka Rais kuisimamia na kuiongoza serikali yake na si PM inashangaza kuona mnataka kumtupia lawama PM! Hii inaonyesha udhaifu na kutowajibika kwa uongozi wa ngazi ya juu. INASIKITISHA
Tunaanza na baraza la mawaziri na mtendaji mkuu wake ni waziri mkuuUbadhirifu unamhusu PM au Rais? Unadhani nani alipaswa kujiuzulu kwanza hapo? Kama boss mwenyewe ni mlamba asali?
Kama angetakiwa kujiuzulu mmojawapo kati ya PM na boss wake nadhani Boss alitakiwa awe amejiuzulu siku nyingi sana
Hata wewe unaweza kumiliki timu ya mpira ukiwa na mipango mizuri..MAJALIWA anamiliki timu ya mpira wa miguu ya Namungo hizo fedha za kuendesha timu anapata wapi!Maamuzi yake mengi ni dhaifu huyu ni mwizi kama wezi wengine
Rais hawez kufa Leo na mkatangaxiwa Leo huwa inachukua Hadi siku7 kutangaza hii n kutokana na Dola au system iliopo iangalie n nan atafaa wap na nan aende WAP kwa usalama wa Taifa ulinzi na kifedha.Huyo Majaliwa Ni muongo muongo hakuna Mtu anapenda kuongea uongo Hadi msikitini
Eti Rais ni Mzima wa Afya yupo anachapa Kazi kauli hii aliiongea kabra ya siku moja ya kifo Cha Rais Magufuli akiwa msikitini.
tangu siko hiyo namchukulia kama muhuni asiyekubari kuwajibika
MAJALIWA anamiliki timu ya mpira wa miguu ya Namungo hizo fedha za kuendesha timu anapata wapi!Maamuzi yake mengi ni dhaifu huyu ni mwizi kama wezi wengine
Muwe mnaweka na source ya habari zenu.mwizi
Kamdanganye mkeohahahahha timu ya halmashauri ile dogo, inaonekana wewe sio mtu wa mpira [emoji3][emoji3][emoji3] kama ilivyo Mbeya City au KMC [emoji3][emoji3]
Na kundi la vijana madhalimu wa sukuma gang wanaotetea uzembe na wizi je?Kama heading inavyojieleza,
Kwa siku hizi mbili nimeshuhudia nyuzi pamoja na post nyingi katika mitandao ya kijamii yenye malengo ya kumchafua Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim wakimtuhumu kuwa ndiye anayemwangusha namba moja.Baadhi ya post zimekuwa zikimtuhumu kwamba amekuwa huchukui hatua pale inapompasa.Binafsi ninasimama upande wa PM kwa hoja zifuatazo:
Kwanza kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT mwenye mandate ya kuteua na kuunda baraza lote la mawaziri ni Rais wa JMT, PM hana mamlaka ya kuteua au kuwajibisha mawaziri, Mwenye mamlaka hayo ni Rais.PM hupatiwa baraza akiwa kama mtendaji mkuu na msimamizi. Hana nguvu ya kuwawajibisha mawaziri kikatiba, ni sawa na kiranja mkuu, hawezi kumfukuza mwanafunzi shule, Mwenye uwezo huo ni mkuu wa shule. Je, kama Mwalimu mkuu hana uwezo kiutendaji wa kuwawajibisha na kuchukua hatua dhidi ya wale aliowateua, PM atafanya nini?
Pili, kuna ule msemo wanasema "Never outshine your master" ikiwa na maana kwamba kamwe usiwe mtendaji au usitende vyema kumzidi 'boss' wako. Nadhani hiyo ndiyo mindset inayotawala katika serikali kwa sasa.Sote tunafahamu utendaji wa aliyekuwa waziri wa fedha na sasa VP Mh Philip Mpango, alipoingia katika kiti chake alianza kwa spidi kali wengi wakasema anaonekana yeye ndiye Rais lakini sote tunafahamu kilichofuatia, Hatimaye akanywea ghafla na ile kasi yake ikapotea kabisa. Kwa mentality hii ni vigumu kwa PM kutenda kazi zake katika 100% capacity kwa kuhofia kibarua chake.
Tatu, Hakuna asiyejua kwamba hivi sasa genge la walamba asali limerejea kwa kasi kubwa, Aidha Namba moja huenda hafahamu au anafahamu au naye analamba asali pamoja nao. Unapofanya kazi katika mazingira haya inakulazimu kuwa makini mno ili kulinda kibarua chako! Wengi wanafahamu utendaji wa PM na ni wazi kabisa kasi yake ni kubwa hata imani, uzalendo na utendaji wake ni zaidi ya boss wake na namna ya utendaji wake ni tofauti kabisa na Boss wake hivyo inamlazimu kupunguza kasi ili kwenda sambamba.Rejea aliyekuwa spika alipozungumza ukweli sote tunafahamu yaliyomkuta.
Hitimisho, Bila kupepesa macho ni wazi kwamba kati ya awamu ambayo inaonekana kufeli na kutokukubalika miongoni mwa watanzania wengi isipokuwa wale walioweka vidole vyao katika buyu la asali, Ni awamu hii ya Sita.Kwa utafiti usio rasmi, watanzania 9 kati ya 10 wanaonekana kutoridhishwa na utendaji wa serikali iliyopo.Kwa kutambua hili baadhi ya vijana walamba asali wametumwa kumchafua na kumuangushia jumba bovu PM ili kumsafisha namba moja kwa madhumuni ya kisiasa.
Kuna msemo wa kiswahili "mfa maji haishi kutapatapa" Nadhani mpango wao umeshafeli kwa maana hakuna mtanzania mjinga asiyetambua yanayoendelea. Tangu lini kiranja mkuu akaacha shule kisa wanafunzi wamelala njaa? Katiba imempa madaraka Rais kuisimamia na kuiongoza serikali yake na si PM inashangaza kuona mnataka kumtupia lawama PM! Hii inaonyesha udhaifu na kutowajibika kwa uongozi wa ngazi ya juu. INASIKITISHA
vijana wanatumika na wanasiasa kama mbeleko ya kubebea mtoto.bado wako utumwani watakapofunguliwa huko labda watajielewa.Kama heading inavyojieleza,

Alipokosea Magufuli na marais wengine mbona makosa walirushiwa wao directly? Au kwa kuwa huyu ni mwanamke hivyo anaonewa huruma?Tunaanza na baraza la mawaziri na mtendaji mkuu wake ni waziri mkuu
Wote CCM wamefikia ukomo wakifikra namna ya kuongoza wamebakuza kutumia dola Ili waendelee kubaki madarakani
Kwa wenye uchungu na nchi tunapaswa kushikamana kudai katiba mpya ambayo inakuwa na misingi ya uwajibikaji kwa viongozi wote pasipo kuangalia nafasi aliyonayo kama ilivyo sasa
Kwa hali jinsi ilivyo kwa sasa huenda nchi ikapatwa na giza na majonzi kutokana na matendo ya utawala uliolaaniwaKama heading inavyojieleza,

Katiba inasema aape kwa raisi wa awamu ipiWaziri Mkuu alikula wapi kiapo kwa rais wa awamu ya sita?
Rais Mpya anapoapa maana yake serikali yote inapaswa kuteuliwa tena. Hilo ni moja
Jengine ni kuwa Waziri Mkuu anaonekana kupwaya kabisa kwenye usimamizi wa maafa na majanga yanayogusibu daily
Tunaona uwajibikaji wake ni hitaji la msingi
Waziri Mkuu ni nafasi nyeti sana serikalini, anaweza akaziba mipango au mianya ya wezi wazoefu walio chini yake na wao wakaja humu kulalamika wakitaka waungwe mkono kumbe ni ubinafsi tu wa kutaka mawazo ya wengi yaunge mkono nia zao chafu za ufisadi.Majaliwa ni hopeless ila hilo genge linalompinga hata mimi nimeligundua. Haiwezekani alaumiwe yeye kwa kila kitu as if tulimchagua awe Rais. Yanajirudia yaleyale ya ufisadi mkubwa wa serikali kisha lawama zote kwa Lowassa na Kikwete akiachwa kama malaika.