Kuna kundi la vijana walamba asali wametumwa kumchafua na kumharibia Waziri Mkuu

Kama umetoa shutuma kwamba Kuna vijana wamelamba asali kumchafua PM vipi na wewe tukisema umepewa asali pia kuja kumsafisha tutakuwa tumekosea ?
 
Hao akina Sanga au Mpina na wenyewe wamelipwa kumchafua ?

Kila sehemu ni ubazilifu tu na waziri mkuu upo tu na anaendelea kukalia nafasi iliyomshinda
Ubadhirifu unamhusu PM au Rais? Unadhani nani alipaswa kujiuzulu kwanza hapo? Kama boss mwenyewe ni mlamba asali?
 
Nyota ipi unayoizungumzia mkuu ,au kushindwa kitekeleza majukumu yake kama waziri mkuu

Jamaa ni mwongo mwongo saana hawezi kuamnika kwenye jamii iliyostarabika .Ninyi nyote mnaontete a mtakuwa mmekula posho toka kwake na si vingine

Mkuu hacha kuuaminisha ujinga wako...huyo mnaemtaka awe PM wenu subirini 2025,huyo Mzee kikwete anawatumia vibaya mtabeba sana sembe wajinga nyie!!!
 
Mkuu hacha kuuaminisha ujinga wako...huyo mnaemtaka awe PM wenu subirini 2025,huyo Mzee kikwete anawatumia vibaya mtabeba sana sembe wajinga nyie!!!
Akhsante mwerevu ,maana unahisi unavyotumika wewe sawa na mimi hapana

Siungi mkono familia zilezile tu ndio ziwe zinatoa viongozi

Huyo waziri mkuu wako nae ni chaguo la msoga kama hufahamu.

Mie nahitaji liteuliwe baraza jipya lenye sura mpya tofauti na ufikilivyo wewe . Wote waliopo 95% wabovu hawapaswi kuwa mawaziri .

Na kwa bahati nzuri mpo ninyi wenyewe chama kimoja mnashindwa nini sasa kupata wengne uwaziri mkuu
 
mkuu umekosea, sio watanzania 9 kati ya 10 ndio hawamwelewi chifu, bali ni watanzania 9999 kati ya 10000 ndio hawamwelewi na hawamkubali chifu
 
Ubadhirifu unamhusu PM au Rais? Unadhani nani alipaswa kujiuzulu kwanza hapo? Kama boss mwenyewe ni mlamba asali?
Tunaanza na baraza la mawaziri na mtendaji mkuu wake ni waziri mkuu

Wote CCM wamefikia ukomo wakifikra namna ya kuongoza wamebakuza kutumia dola Ili waendelee kubaki madarakani

Kwa wenye uchungu na nchi tunapaswa kushikamana kudai katiba mpya ambayo inakuwa na misingi ya uwajibikaji kwa viongozi wote pasipo kuangalia nafasi aliyonayo kama ilivyo sasa
 
Kama angetakiwa kujiuzulu mmojawapo kati ya PM na boss wake nadhani Boss alitakiwa awe amejiuzulu siku nyingi sana

Huyo Majaliwa ni jizi la kura kama majizi mengine. Sasa sijui ni uchafu gani unataka kusema anachafuliwa nao.
 
MAJALIWA anamiliki timu ya mpira wa miguu ya Namungo hizo fedha za kuendesha timu anapata wapi!Maamuzi yake mengi ni dhaifu huyu ni mwizi kama wezi wengine
Hata wewe unaweza kumiliki timu ya mpira ukiwa na mipango mizuri..
 
Rais hawez kufa Leo na mkatangaxiwa Leo huwa inachukua Hadi siku7 kutangaza hii n kutokana na Dola au system iliopo iangalie n nan atafaa wap na nan aende WAP kwa usalama wa Taifa ulinzi na kifedha.

Hvyo fungua akili mzee
 
MAJALIWA anamiliki timu ya mpira wa miguu ya Namungo hizo fedha za kuendesha timu anapata wapi!Maamuzi yake mengi ni dhaifu huyu ni mwizi kama wezi wengine

hahahahha timu ya halmashauri ile dogo, inaonekana wewe sio mtu wa mpira [emoji3][emoji3][emoji3] kama ilivyo Mbeya City au KMC [emoji3][emoji3]
 
Na kundi la vijana madhalimu wa sukuma gang wanaotetea uzembe na wizi je?

Mnamdanganya huyo PM wenu kwamba haweai kufukuzwa
 
vijana wanatumika na wanasiasa kama mbeleko ya kubebea mtoto.bado wako utumwani watakapofunguliwa huko labda watajielewa.
 
Alipokosea Magufuli na marais wengine mbona makosa walirushiwa wao directly? Au kwa kuwa huyu ni mwanamke hivyo anaonewa huruma?
 
Kwa hali jinsi ilivyo kwa sasa huenda nchi ikapatwa na giza na majonzi kutokana na matendo ya utawala uliolaaniwa

Laana ya JPM kumpakazia ubaya usiokuwepo mpaka itasababisha kuwa na 'another fallen hero' it is just a matter of timing for execution on the wait to accomplish the mission. God forbid the cubic ditch is calling to swallow the prey.............
 
Alipokosea Magufuli na marais wengine mbona makosa walirushiwa wao directly? Au kwa kuwa huyu ni mwanamke hivyo anaonewa huruma?
 
Katiba inasema aape kwa raisi wa awamu ipi
 
Waziri Mkuu ni nafasi nyeti sana serikalini, anaweza akaziba mipango au mianya ya wezi wazoefu walio chini yake na wao wakaja humu kulalamika wakitaka waungwe mkono kumbe ni ubinafsi tu wa kutaka mawazo ya wengi yaunge mkono nia zao chafu za ufisadi.

PM ni cheo nyeti sana na sio kila shutuma dhidi yake zina mantiki kama ukichunguza kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…