Kuna kundi la vijana walamba asali wametumwa kumchafua na kumharibia Waziri Mkuu

Kuna kundi la Sukuma Gang Kuna kundi la Sukuma Gang limetumwa kumchafua na kumsakama January Makamba
 
Katiba inasema aape kwa raisi wa awamu ipi
Anaapa kwa rais aliyeapishwa kushika madaraka.

Ukomo wa nafasi yake ni pamoja na
  1. Kufariki
  2. Kujiuzulu
  3. Kufukuzwa
  4. Rais mpya anapoapishwa
Elimika
 
Alipokosea Magufuli na marais wengine mbona makosa walirushiwa wao directly? Au kwa kuwa huyu ni mwanamke hivyo anaonewa huruma?
Narudia tena wote hawafai kuanzia rais hadi mjumbe wa serikali ya mtaa au halimashauri ya Kijiji

Na mwarobaini wao wote ni katiba mpya na wananchi waliyotayari kuyasema mapugufu ya viongozi pasipo kupepesa maneno na kuyasimamia ili kiongozi iwe kuwajibika awajibike au kuwajibishwa kwa mapugufu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…