Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Yani USA ianguke ? Afu kitu ambacho ukijui Ni kuwa haya mataifa USA na Russia na China yanaushirikiano mno Ila Sisi huku mbwande ndio tunaona wanauogomvi ,Ni Sawa Sawa Kwa hapa Tanzania watu huwadhani mbowe na viongozi WA CCM wanaugomvi wakati

Ni kweli ila India now yupo far ahead jaribu kuitafuta au kutazama project zake utaelewa
ok,..nikweli sijawa updated kuhusu India kwa muda kidogo,...ngoja nizame
 
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
You are OPTIMISTIC
 
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Huyo mpumbavu amesahau au hajui, barabara ya Tunduma -Sumbawanga pia imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani. Mwamba amefadhili upatikanaji wa lishe bora,upatikanaji uhuru pia wa Afrika ali-play role kubwa.
 
Back
Top Bottom