Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
America ilishawahi kushinda vita ipi?
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Typical Mwafrika. Anawaza misaada muda wote.
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Kwa kuwa wamekubali kuongozwa na vichaa lazima wachukuliwe poa poa.
 
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Unaijua USAID wewe au unaropoka tu
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Ongezea na Internet 😂
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Yaani CCM ilisha watowa watu akili . Yaani unataka USA itoze wananchi wake kodi ili ije kujenga railway Tanzania? Halafu Tanzania itoze kodi wananchi wake ili ikanunuwe v8 za misafara ya raisi na wateule wake? Hapo ndio utaona USA inafaida kwako? Kwa taarifa yako hakuna taifa lolote duniani lilo wahi au litakuja kufanya hivyo. Hao wachina wanao Jenga railway usifikiri ni wajinga hivyo wanazinga kwa manufaa ya wachina na sio Tanzania kama unavyo Dhani. Dio maana mikataba haiwekwi hadharani ila kutoza kodi watazania wanalazimishwa hadharani bila kujari utu wao.
 
Hilo linaeleweka.
Hizo nchi tatu zimemshinda katika uchumi.
Maana dunia ya sasa economic power ndio kila kitu.
Yes,...nadhani wenzake ni Israel ,misri, south Africa, Brazil,India na Pakistan.....hawa wanaweza kaa kundi moja kijeshi
 
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Kwaiyo wewe unasubiri kupatiwa bure? Yaani mwanaume mzima na akili zako kazi yako kulaumu wenzako kwamba hawajakupatia hiki mara kile. Mna mkataba nao wakupatie?
 
Soma tena nilicho andika na mada ya mleta mada tumia akili...acha kutumia kijambio kufikiri nani kasema anataka marekani ndiyo itujengee nchi zetu ?mimi nilikuwa napiga mleta mada anayetaka tusujudia marekani ...nikimwonyesha kuwa marekani hakuna chamaana cha sisi kumsujudia....izo lawama zako zina mstaili mleta mada .. siyo mimi ...mimi situkuzi beberu wala muarabu wala madhehebu ya dini kwangu vyote hivyo ni upumbavu
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
US hata raia wake hawapi pesa ya bure wewe unataka kujengewa reli? hawaamini huo upuuzi
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Hahaha! Tena hapo bado sanaa! The list is quite long to be honest.
 
Back
Top Bottom