Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Kule kijijini kwako bibi yako anatumia kipi kati ya hicho. Halafu mpaka karne hii tunaitaja Coca-Cola kama product ya maana sana kuwa bila hicho mtu atakata roho
 
Yes,...nadhani wenzake ni Israel ,misri, south Africa, Brazil,India na Pakistan.....hawa wanaweza kaa kundi moja kijeshi
Iran ana nguvu kuliko mataifa yote hayo uliyotaja kijeshi.
Amethibitisha kuwa ni tishio kwa wakubwa tena akiwa anaishi chini ya vikwazo zaidi ya miaka 40.
Iran ligi yake ni kubwa KIJESHI sio ya hizo nchi za kitoto ulizotaja.
Ila kiuchumi ndio bado.
Leo hii USA akisikia Iran inamsaidia mpinzani wake kijeshi lazima ahahe na kulalamika kwasababu anajua uimara wa Iran kijeshi.
 
Mkuu uimara wa nchi ni uchumi kama bado hata vita hutoboi.
 
India muweke na USA,Russia na China uyo Yuko vizuri
 
Yani Iran anamshinda India kijeshi? Mkuu embu fikiria mara 2 ,Ni kweli Yuko vizuri hatukatai ila sio Kwa kiwango cha kuipita India
 
Uko sahihi.
Ndio maana Iran inachukulika kama threat kwasababu licha ya kuwekwa katika vikwazo vya kiuchumi tangu 1979 ila sasa ni middle upper income country na ime manage ku finance bajeti zake hadi za jeshi na kuunda hadi silaha na kuanzisha nuclear plant.
Kaka hayo sio mambo madogo kwa taifa ambalo limeishi na vikwazo toka 1979.
Inamaana bado ina ubavu.
Jiulize isingewekewa vikwazo ingekua wapi kaka!?
 
Yani Iran anamshinda India kijeshi? Mkuu embu fikiria mara 2 ,Ni kweli Yuko vizuri hatukatai ila sio Kwa kiwango cha kuipita India
India ni quantity sio quality.
India katika millitary operations ni weupeee peee.
India katika list ya jeshi kubwa ipo juu ya Germany,do you believe India inaweza kupigana na Germany na ikashinda!?
Kama Pakistan tu amemtoa jasho katika vita za mipaka 5 walizopigana India kashinda moja tu.
India ni weupe sana aisee.
Angalau ungenambia Pakistan kidogo ningesema anaweza kumsumbua Iran.
Embu kafuatilie Iran kivita toka inaitwa Anatolia/Persia halafu uone mwenyewe.
Hapo ndio utajiuliza kwanini USA anaikalia kooni Iran.
 
Iran ana nguvu kuliko mataifa yote hayo uliyotaja kijeshi.
Amethibitisha kuwa ni tishio kwa wakubwa tena akiwa anaishi chini ya vikwazo zaidi ya miaka 40.
Iran ligi yake ni kubwa KIJESHI sio ya hizo nchi za kitoto ulizotaja.
Ila kiuchumi ndio bado.
Leo hii USA akisikia Iran inamsaidia mpinzani wake kijeshi lazima ahahe na kulalamika kwasababu anajua uimara wa Iran kijeshi.
Hivi unaifaham Pakistan vizuri au unaichukulia ni kama waimba nyimbo fulani

Brazil India na Pakistan usiwachukulie kinyonge just kwasababu si wakorofi..
Acha utani kaka hivi kweli unaifanamisha Pakistan na Iran?
 
Kule kijijini kwako bibi yako anatumia kipi kati ya hicho. Halafu mpaka karne hii tunaitaja Coca-Cola kama product ya maana sana kuwa bila hicho mtu atakata roho
Chanjo za Polio na kifua kikuu.
 
India ni quantity sio quality.
India katika millitary operations ni weupeee peee.
India katika list ya jeshi kubwa ipo juu ya Germany,do you believe India inaweza kupigana na Germany na ikashinda!?
Kama Pakistan tu amemtoa jasho katika vita za mipaka 5 walizopigana India kashinda moja tu.
India ni weupe sana aisee.
Angalau ungenambia Pakistan kidogo ningesema anaweza kumsumbua Iran.
Embu kafuatilie Iran kivita toka inaitwa Anatolia/Persia halafu uone mwenyewe.
Hapo ndio utajiuliza kwanini USA anaikalia kooni Iran.
Mkuu unayosema Ni Sawa ila Kwa upande mwingine vita inahitaji pesa ,vita inahitaji bajeti kubwa we unahisi ikatoea mgogoro Kati ya India na Iran unadhan Iran anaweza Ku manage?
 
Hivi unaifaham Pakistan vizuri au unaichukulia ni kama waimba nyimbo fulani

Brazil India na Pakistan usiwachukulie kinyonge just kwasababu si wakorofi..
Acha utani kaka hivi kweli unaifanamisha Pakistan na Iran?
Naongea nachojua.
Naifahamu Pakistan,India na hiyo Brazil.
Hivi umeifuatilia vizuri historia ya Iran bro!??
Ulimwenguni source mbali mbali zinakwambia miongoni mwa mataifa yenye higher missile technology Iran ni moja wapo.
Miongoni mwa mataifa yaliyofanikiwa kuunda home made ADS miongoni ni Iran.
Unaweza kunitajia Brazil, Pakistan na India wameweza kuunda ADS zao zenye ufanisi!??
Ndio maana nikakwambia nenda kafuatilie historia ya Iran ndio utajua kwanini USA anaikalia kooni Iran kuliko taifa lolote hapo middle east.
Iran imeishi kwa vikwazo tangu 1979 ila imeweza ku sustain economic growth na kuwa middle upper income nation.
Imeweza kujiendeleza kiteknolojia hadi inaunda silaha na makombora mbali mbali.
Imeweza kupiga hatua kwenye NUCLEAR SCIENCE.
Hivi unajua kama Iran ina best nuclear scientist kuliko hizo nchi ulizotaja!??

USA sio mjinga anapoikalia kooni nchi.
Mwaka huu UN nuclear watchdog walipoondoa vikwazo vya nuclear na uundaji silaha kwa Iran,USA ilibwatuka na kung'aka sana.Ilisisitiza hata kama wanachama wote wataondoa vikwazo kwa Iran ila USA haitaondoa.
Iran ikiachwa huru zaidi kuunda silaha inazotaka na kujiendeleza katika mikakati ya nishati ya nuclear itakuwa tishio zaidi ya mwanzo.

Hii kauli walizungumza wawakilishi wa USA huko UN nuke watchdog.

Embu mfuatilieni huyo muajemi vizuri.
Hiyo Russia yenyewe inamchukulia Iran kuwa potential kubwa kuliko mshirika mwingine.
We unanitajia hao India wenye masikini kibao walala nje nchi inayobebwa na data?
Unanitajia Pakistan ambayo ina raia wengi masikini behind poverty line na haikuwahi kuishi katik economic sanctions wala vita kubwa!??
Ichukue Pakistan hivi ilivyo hoe hae halafu ipachike vita alizopigana Iran na vikwazo vya kiuchumi kama hujapata Zimbabwe square ama cubic.
 
Mkuu unayosema Ni Sawa ila Kwa upande mwingine vita inahitaji pesa ,vita inahitaji bajeti kubwa we unahisi ikatoea mgogoro Kati ya India na Iran unadhan Iran anaweza Ku manage?
Kaka embu nenda kafuatilie Hizbollah, Houthi, Islamic jihad hawa wote wanafadhiliwa silaha na pesa kutoka Iran.
Unajua Iran anatumia fedha kiasi gani katika mpango wake wa axis of resistance hapo middle east!?
Kama aliweza kuhimili vita kuanzia 1980 hadi 1988 vita ya miaka nane pasi na kupumzika akipigana na Iraq tena ya Saddam Hussein, atashindwa kuihimili India!??
Huko mbali tizama vita ambazo anaziendesha sasa hivi hapo middle east ni kwa pesa zake.
Houthi walipigana na Saudi arabia ikisapotiwa na USA ili kumuondoa Mansour asisalie uongozini kuanzia 2014 hadi 2021 kwa msaada wa kifedha wa Iran.
Miaka yote saba Houthi wanasimama dhidi ya taifa kamili kivita kwa pesa za Iran.
Iran unaweza kuichukulia taifa jepesi ila ni taifa lililojipanga.
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Dunia ipo ktk transition. Marekani inaendelea kushuka na wakikosea wakamchagua huyo mwanamke basi anguko lao litakuja kwa haraka. Huko tuendako hakutakuwa na Taifa moja kubwa tena wala mawili bali kutakuwa na mataifa kumi au Federation 10 zitakazoendesha dunia. Biblia imeshaeleza hili. Na hiyo ndiyo wanaita New world order inayopigiwa chapuo tangu miaka ya 70.
 
Iran ana nguvu kuliko mataifa yote hayo uliyotaja kijeshi.
Amethibitisha kuwa ni tishio kwa wakubwa tena akiwa anaishi chini ya vikwazo zaidi ya miaka 40.
Iran ligi yake ni kubwa KIJESHI sio ya hizo nchi za kitoto ulizotaja.
Ila kiuchumi ndio bado.
Leo hii USA akisikia Iran inamsaidia mpinzani wake kijeshi lazima ahahe na kulalamika kwasababu anajua uimara wa Iran kijeshi.
Ni mtazamo wako kivyako,...
 
Yani Iran anamshinda India kijeshi? Mkuu embu fikiria mara 2 ,Ni kweli Yuko vizuri hatukatai ila sio Kwa kiwango cha kuipita India
Mwenyewe namshangaaa
 
India muweke na USA,Russia na China uyo Yuko vizuri
Mkuu hizo nchi tatu,..ziachwe haziguswi na kanchi kokote kale kijeshi,....India hawafikii hao katika innovation
 
Dunia ipo ktk transition. Marekani inaendelea kushuka na wakikosea wakamchagua huyo mwanamke basi anguko lao litakuja kwa haraka. Huko tuendako hakutakuwa na Taifa moja kubwa tena wala mawili bali kutakuwa na mataifa kumi au Federation 10 zitakazoendesha dunia. Biblia imeshaeleza hili. Na hiyo ndiyo wanaita New world order inayopigiwa chapuo tangu miaka ya 70.
Yani USA ianguke ? Afu kitu ambacho ukijui Ni kuwa haya mataifa USA na Russia na China yanaushirikiano mno Ila Sisi huku mbwande ndio tunaona wanauogomvi ,Ni Sawa Sawa Kwa hapa Tanzania watu huwadhani mbowe na viongozi WA CCM wanaugomvi wakati uhalisia Si kweli
 
Dunia ipo ktk transition. Marekani inaendelea kushuka na wakikosea wakamchagua huyo mwanamke basi anguko lao litakuja kwa haraka. Huko tuendako hakutakuwa na Taifa moja kubwa tena wala mawili bali kutakuwa na mataifa kumi au Federation 10 zitakazoendesha dunia. Biblia imeshaeleza hili. Na hiyo ndiyo wanaita New world order inayopigiwa chapuo tangu miaka ya 70.
Yani USA ianguke ? Afu kitu ambacho ukijui Ni kuwa haya mataifa USA na Russia na China yanaushirikiano mno Ila Sisi huku mbwande ndio tunaona wanauogomvi ,Ni Sawa Sawa Kwa hapa Tanzania watu huwadhani mbowe na viongozi WA CCM wanaugomvi wakati
Mkuu hizo nchi tatu,..ziachwe haziguswi na kanchi kokote kale kijeshi,....India hawafikii hao katika innovation
Ni kweli ila India now yupo far ahead jaribu kuitafuta au kutazama project zake utaelewa
 
Back
Top Bottom