Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Yani misaada ya USA ya kuwalemaza kabisa.
Wewe una uhakika gani serikali ingeshindwa ku fund pesa za madawa ya ARV!?
Hivi unajua kuna matibabu ghali sana na serikali ina fund hadi sasa!?
Aisee kweli watu hamuna exposure.
Unachokiongea hukifahamu
 
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Hapo kwenye kuwaza kusaidiwa wakati una rasilimali kibao...utumwa unaanzia kichwani.
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Kobazi hao
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Ongezea
ARV
MDH
WALTER REED
PEPFAR
JOHNSON POWDER
JOHNSON VACCINE
RAZACK LOTION
RINJU LOTION
 
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Kwa nn usaidiwe wewe huna mikono huna akili
Je wewe umeisaidia nn USA?
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Mbona unajitoa ufahamu,umesahau vild vyoo vya shule uliyosoma ya msingi,vilijengwa kwa msaada wa watu wa marekani,mbona una ubongo wa kuku.
 
Hayo marekani kaanza kuyafanya kwa sababu ya china..marekani anachukizwa sana na china kukubalika africa na kufanya miradi inayo mfanya akubalike kuliko 🇺🇸 ni janja tu ila siyo kutoka moyoni ....ndiyo maana watu wanamuona marekani ni muhuni tu hata madawa ya ukimwi ukiwa na akili finyu unaweza kuishukuru marekani ila kama una akili kubwa utailaani. watu wanashinda kujiuliza mbona dawa za ukimwi zinatolewa bure wao wanadhani ni upendo kumbe wangejua mchezo uliopo nyuma yake dhidi ya muafrica na dunia,. wasingeshukuru ..kuna magonjwa chungu mzima kwanini ukimwi tu ?
Upo moyon kwao ili ujue wanatoa kwa moyo ama sio kwa moyo
Hujui kitu tutusa wewe
Huna hoja mpewa misaada wewe
Maskini fukara huna mbele wala nyuma
Internet unayo tumia ni ya USA
Pumbavu kabsaa mtu duni wewe
 
Ni kosa kumdharau U.S.A, IRAN, RUSSIA and CHINA kwa ushabiki maandazi.
Wote hao wanaogopana, wanaviziana na wanaheshimiana.
Mtoe iran,huyo gaidi anapata jeuri kisa urus na chini il hana kitu mvele ya usa
 
Ilo swala la virus nimelisema kabla ya kuona hii comment yako hivyo jua tu unaye bishana naye ni mjuzi kukuzidi
Huna ujuz wowote wewe popoma
Ungekuwa na ujuz usingeandika ujinga wako hapa
Inaonesha ndiyo umetoka kwenye shimo kama ngiri unakurupuka tuu
 
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Utongea yote ila kwa sasa tambua usa ni kama maji usipo kunywa utachambia nkundugu wako.

Bila dola hununui mafuta nchi yako inalilia pesa za kigeni hasa dola ili ijiendeshe.
 
Wewe umekataa kuchukua mikopo yao as individual mbona hujajikwamua kwenye umaskini
Wanatumia hiyo mifumo na mikopo kudhibiti africa isiweze kujikwamua kwenye umasikini ndiyo maana akija raisi makini wanamchukia na kumpiga vita
 
Hapa ndipo waafrica mnavyonishangaza....Kujiona mnazijua sana nchi za wenzetu kuliko hata nchi zenu.
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
🤣tulia Athuman
 
Mtoe iran,huyo gaidi anapata jeuri kisa urus na chini il hana kitu mvele ya usa
Tumuweke Tanzania...?
Acha ushabiki....
Iran ni Taifa kubwa sana....wana uwezo mkubwa kwenye kila kitu.
Ndiyo maana hata sisi ( TANZANIA) tunaomba kishirikiana nao.
 
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Kwa hiyo wewe umeolewa na mwanaume mwingine kwa sababu Tanzania tumepokea fedha toka world bank?
 
Back
Top Bottom