RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Umetumia akili ndogo kuwaza mambo makubwa hongera sana great thinkerUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Wewe uwezi kunielewa kwa sababu ya akili yako ndogo ila wamarekani wenyewe wananielewa sana...maana wanajua ajenda zao wanazo zikusudia kwenye kila jamboUmetumia akili ndogo kuwaza mambo makubwa hongera sana great thinker
Wabongo wengi wana uwezo mdogo sana wa kuelewa na kuchanganua mambo. utajisumbua bure tu mkuu.
Ahahahahaha! Anafikiri REA ilikuja na sh. 73,000! Ahahahahaha!!Unaujua mradi wa power Africa?
Achana nae bado mtoto huyo.
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Bila uwepo wa USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita. USA analeta balance kwenye mambo mengi mno
Anaweza kuwa yupo juu lakini umwamba wake hauna msaada kwa dunia ya leoKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
USA kaleta amani dunianiUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Msisahau na matundu ya vyoo mashuleni yaliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani!DHL?!
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Mkuu kama waitukuza ni wewe kwan lazima tufanane?Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Msisahau na matundu ya vyoo mashuleni yaliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani!
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Kwanini tusaidiwe? Kwanini tusitumie resources zetu kupata pesa za kufanya maendeleo? Halafu AMKA USINGIZINI. Hakuna msaada wa bure chini ya jua.Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
FikiUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Kwani hao waarabu kwanini wanatoa pesa Kwa kiongozi wa chawa!!?Kwanini tusaidiwe? Kwanini tusitumie resources zetu kupata pesa za kufanya maendeleo? Halafu AMKA USINGIZINI. Hakuna msaada wa bure chini ya jua.
Andika vizur,hatukuelewi mkuuKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Kwahiyo USA watashinda kwenye vita ya ujasusi ya mwakani hapa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu dhidi ya mashirika mengine ya kijasusi ya waarabu na Russia!!?katika kumuingiza mtu wao ndani ya system!!?Kuongezea Taifa la USA ni moja ya mataifa hawana Tabia ya kuonyesha silaha zao. Tofauti na Urusi, Iran, na China. Umewahi kujiuliza sababu za hayo yote? Ktk moja ya speech za marais wa Marekani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakisema USA wana silaha ambazo hazijawahi tumika duniani wala kuonwa" swali linabaki je ni silaha gani
🤣🤣Ahahahahaha! Anafikiri REA ilikuja na sh. 73,000! Ahahahahaha!!