RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Umetumia akili ndogo kuwaza mambo makubwa hongera sana great thinkerUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo