Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Asilimia 70 ya huduma za mtandao duniani hupitia jimbo la Virginia. Loudoun County, to be specific.

So put some respect on 🇺🇸 name!

Marekani ina uwezo mkubwa sana wa kuyafanya maisha ya watu duniani kuwa miserable sana kwa zama hizi.
 
M
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Mkuu, upo sahihi kabisa; nadhani umtake aende Paramiho akaone mabarabara ya "KWA MSAADA WA WATU WA MERIKANI" ndopi akili yake itakaa sawasawa.
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Kuongezea hata Condoms na ARV anazotumia ni kwa msaada wa Wamarekani
 
Yaani wewe sijui popoma..........hivi kwa msaada wa marekani USaid ujaziona .......maana sio kitu kimoja tu anacho fadhiri viko vingi sana ikiwemo kufubaza virusi vyako.........marekani hajajenga reli ila miradi yake hapa duniani na kama sio tanzania basi inaweza kujenga nchii kadhaa.........mpaka huko UN bila marekani kutoa pesa zake sidhani kama ingekuwepo mpaka leo......yeye ndiye mchangiaji mkuu kushinda wote hata huyo mangi wa kichina haoni kitu........kwa pesa marekani alizo wekeza nje na anazodhitoa ingetosha kuwa maliza masikini wote waliopo kwake na hakawa hana hata omba omba mmoja.......hila kaamua kujari wengine .......SALUTE KWAKE
Tatizo hapa mpo kiushabiki hapa ndo huwa ni ngumu sana kufikia tamati Mfano mtu akitekwa na kuuawa na awe wachadema wa ccm utasikia anaponda alikuwa anajifanya anajua mno nk .......


Tukija kwenye uhalisia hivyo vindonge vya Arv serkali inalipa hela ndefu mno sio bure.
kwenye chanjo hali kadharika na pia wana malengo yao hapa kataa ukubali.
kwenye uzazi wa mpango na makondomu wanajua mkitumia badae mtaanza nunua dawa za kansa hamtapona na mengine mengi yaliyo jificha nyuma.

History inaonyesha ukimwi ulitengenezwa tu ili wapige hela. na hii nikweli kwanini dawa ya kufumbaza virusi iwepo ila ya kuponyesha isiwepo? ushasikia us kuna ukimwi kama huku? wao hawana damu?
 
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Muongezee Barabara ya Tunduma Sumbawanga,bila kusahau ARV
 
USA haijawahi kuuza Wala kununua watumwa.
Ndîo maana unaonekana unaongea mambo usiyoyajua.

Hata Mtu aliyefika kidato cha nne tuu anajua USA hajawahi kufanya biashara ya utumwa
Kaka unaandika mpaka unapitiliza, marekani alikuwa mdau wa biashara ya utumwa na pia yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kusitisha biashara ya utumwa hiyo ni baada ya kutaradadi kwa ugunduzi wa baadhi ya mitambo muhimu hali iliyopelekea miaka michache mbele nchi za ulaya kuleta mapinduzi ya viwanda
 
History inaonyesha ukimwi ulitengenezwa tu ili wapige hela. na hii nikweli kwanini dawa ya kufumbaza virusi iwepo ila ya kuponyesha isiwepo? ushasikia us kuna ukimwi kama huku? wao hawana damu?
Wao wametengeneza ARVs, Wewe na wenzako tengenezeni hiyo dawa ya Ukimwi ili mpige pesa, msiwe mafala kulalamika tu mbona mbona...kama kuna mtu alipaswa kuwajibika kwa uwepo wako hapa duniani.
 
Shika haya maneno ....kama hakuna urafiki kati ya tajiri na masikini hiyo ni sawa ila HAKI IZINGATIWE KATI YA TAJIRI NA MASIKINI ...asipewe haki tajiri haki isiyo mstaili.kwa sababu tu nitajiri na masikini asinyime haki inayo mstaili kwa sababu tu ni masikini. Hapo tusinge kuwa na tatizo na USA WALA BEBERU YOYOTE
Speaking of haki(fair).......... Mkuu dunia haijawahi kuwa fair, haipo fair, na haitakuja kutokea kuwa fair

Maisha yana kanuni ambayo inampa favor TAJIRI kwasababu ya MAARIFA yake.
Shida yetu watu masikini ni kuwachukia matajiri na kuanza kupambana nao........ huwezi kupambana na umasikini wako kwa kupambana na tajiri unaye mtegemea akuwezeshe

Wewe hapa unalalamika USA hatusaidii chochote......... unataka akusaidie bure bure tuu kwasababu yeye ni TAJIRI?
Tajiri hatoagi msaada wa bure tu, lazima kuna namna atarudisha alichotoa maradufu
Ni MAARIFA tu
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Upo siliasi kwel na ili swali
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Hao wachumba tu hawana maajab,ukibisha muulize kiduku,mwafgani,mwirani,msitia,mhouthi,myemen,mchina,ukitaka usisumbuke,anza kabisa na Mrusi.
 
Back
Top Bottom