Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sijawai kuona mpumbavu kama wewe siyo lazima kuwa jambazi basi lazima wewe ufanye moja kwa moja ujambazi ...wewe ukitoa pesa mafundi wakakujengea nyumba mbona unasema ninajenga nyumba ...biashara ya watumwa siyo kuuza tu hata kununua mtumwa ni kufanya biashara ...nadhani ujui kuwa biashara ni (kuuza na kununua) kwa akili zako wewe unadhani kufanya biashara ni kuuza tu ...pole sana kwa akili kiduchu
USA haijawahi kuuza Wala kununua watumwa.
Ndîo maana unaonekana unaongea mambo usiyoyajua.
Hata Mtu aliyefika kidato cha nne tuu anajua USA hajawahi kufanya biashara ya utumwa