miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Say as hallBila uwepo wa USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita. USA analeta balance kwenye mambo mengi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Say as hallBila uwepo wa USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita. USA analeta balance kwenye mambo mengi mno
HIV NA AJENDA YA DAWA ZA BURE HAPO TU UKIWA NA AKILI UTAJUA MCHEZO UNACHEZWAJE NA SERA ZA UKIMWI TULIZO AMLIWA KUZIFUATA...hiyo ni moja tuEleza ni Kwa namna Ipi Amerika inazuia Waafrika kuwa Watu wachache?
Kabisa mkuuMnataka mjaliwe kwana nyie ni watoto yatima?! Kila taifa duniani linafanya jambo lolote kwa maslahi yake kwanza. Iwe msaada au mkopo ni kwa ajili ya maslahi yake ya uchumi, usalama, afya, uhamiaji, utalii n.k
Africa ya kusiniKwani Kabla ya ukoloni Waafrika walitibiwa bure na waganga waô au mnazungumzia mambo msiyoyajua?
Mganga lazima apewe Pesa.
Sasa hizô ARV mlitaka mpewe bure na hao wazalishaji na viwanda watapataje fedha za kuendesha Maisha yao na Kazi Yao?
Duh. Aisee. Hujawahi hata kukutana na mabango yameandikwa kwa msaada wa watu wa marekani? Anyway ni aibu kwa bara la Africa mno bora hujui.USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Kuna wazee wakimezeshwa maneno utasikia wakilopoka vitu ambavyo mbeleni vinaweza kuliingiza Taifa kwenye mizozo isiyotarajiwa.Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Boss, Kwanini atokee wa kutujali? Kwanini tujaliwe? Ni mama zetu wale? Sisi tuangalie win-win. Chukua madini, tupe umiliki wa teknolojia, chukua twiga tupe kiwanda. Hata hivyo nina wasi wasi hizi rasilimali zetu si kwamba ni special kihiivyo kama tunavyojinadi, labda mlima kilimanjaro na Tanzanite ila haya mengine yanapatikana huko kwa wenzetu pia.Mkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
Bila nchi za asia maana kama siyo nchi za asia kuleta ushindani kwa mabeberu hadi leo kununua tv ingekuwa sawa na kujenga nyumbq
HIV NA AJENDA YA DAWA ZA BURE HAPO TU UKIWA NA AKILI UTAJUA MCHEZO UNACHEZWAJE NA SERA ZA UKIMWI TULIZO AMLIWA WA KUZIFUATA...hiyo ni moja tu
Sisi tumekubali kuwa ni vilaza kwanzia akili zetu .Boss, Kwanini atokee wa kutujali? Kwanini tujaliwe? Ni mama zetu wale? Sisi tuangalie win-win. Chukua madini, tupe umiliki wa teknolojia, chukua twiga tupe kiwanda. Hata hivyo nina wasi wasi hizi rasilimali zetu si kwamba ni special kihiivyo kama tunavyojinadi, labda mlima kilimanjaro na Tanzanite ila haya mengine yanapatikana huko kwa wenzetu pia.
Hii mentality ya kupenda kusaidiwa ndiyo inayoturudisha nyuma. Nchi zenye uwezo zinafanya ubia (katika miradi mbalimbali) na zinaondokana na dhana ya kusaidiwa au kupenda kusaidiwa kama unavyoeleza.USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Africa ya kusini
Nigeria
Ethiopia
Ghana
Morocco
Kenya
Hizo ni baadhi za nchi zenye ushirikiano na US 90%
Jifunze kwenye madawa ya kulevya kuna mapusha na mateja ....kazi wanayo fanya mapusha ni kukuingiza kwenye uteja wa madawa yao ya kulevya ...ukisha kuwa teja unaanza kuwashukuru na kuwasifu kwa kukuuzia madawa na kuwaita wanyamwezi ...marekani inachofanya nikama wanachofanya mapusha ...hivyo wewe hato unayo yahita manufaa tunayo pata ni uteja wa kiakili yani akili zako zimesha haribiwa hiyo unawasifu WAMAREKANI NA KUWAONA MWOKOZI KUMBE WAMEKUATHILI AKILIHata kama na yeye anafaidika ila still na sisi ametusaidia.
Yani wewe unataka kusaidiwa tu,jisaidie mwenyewe..
USA ni taifa kubwa,ukatae ukubali.
Ndicho ninacho sema mimi... kuwa krashi wanao itukuza marekani for nothing wakidhani ni watu muhimu kwetu ...mimi sikusema kusaidiwa ni kwema wala kubaya ila kutukuza upumbavu ni tatizo....Hii mentality ya kupenda kusaidia ndiyo inayoturudisha nyuma. Nchi zenye uwezo zinafanya ubia (katika miradi mbalimbali) na zinaondokana na dhana ya kusaidiwa au kupenda kusaidiwa kama unavyoeleza.
Jifunze kwenye madawa ya kulevya kuna mapusha na mateja ....kszi wanayo fanya mspusha ni kukuingiza kwenye uteja wa madawa yso ya kulevya ...ukisha kuwa teja unaanza kuwashukuru na kuwasifu kwa kukuuzia madawa na kuwaita wanyamwezi ...marekani inachofanya nikama wanachofsnya mapusha ...hivyo wewe hato unsyo ysita manufaa tunayo pata ni uteja wa kiakili yani akili zako zimesha haribiwa hiyo unawasifu WAMAREKANI NA KUWAONA WAKOZI KUMBE WAMEKUATHILI AKILI
US ndio maana halisi ya uchumi kwanzia mtu binafsi wa daraja la chini( mdada wa kazi za nyumbani) mpaka taifa kiujumla , ndio maana kila mtu duniani ana ndoto za kuishi US Bufa Nyani Ngabu .Linganisha na zile Ambazo hazina huo ushirikiano utagundua gap.
Angalia Korea Kaskazini na Kûsini.
Kûsini wanashirikiana na USA wàpo vizuri.
Nenda Japan, china.
Njoo Mashariki ya Kati, Saudia Arabia Ipo Vizuri Kwa sababu wanashirikiana na USA
Ndicho ninacho sema mimi... kuwa krashi wanao itukuza marekani for nothing wakidhani ni watu muhimu kwetu ...mimi sikusema kusaidiwa ni kwema wala kubaya ila kutukuza upumbavu ni tatizo....
Wazungu, Wachina, Wahindi yaani wote Hakuna hata mmoja nimewahi kumsikia akilalamika Africa inatuonea, ni sisi tu ndo wa kuonewa.Sisi tumekubali kuwa ni vilaza kwanzia akili zetu .
Wewe unadhani madini yetu ya sfrica yanaibiwa au ni sera za kimataifa kutoka kwa mabeberu ...sisi tupo kwenye uteja wa mabeberu na sera zao na miongozo yso waliyo tutungia kwa manufaa yao ...Eleza Kwa namna Ipi?
US ndio maana halisi ya uchumi kwanzia mtu binafsi wa daraja la chini( mdada wa kazi za nyumbani) mpaka taifa kiujumla , ndio maana kila mtu duniani ana ndoto za kuishi US Bufa Nyani Ngabu .
Ndugu yangu hivi unajua kuwa madawa ya ukimwi ambayo kama zingeuzwa hakuna mtu ambaye angeweza kununua na miradi ya ukimwi na afya kupitia USAID ni bure na ni hao USA wanatoa au unaropoka bila kujua?USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo