Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kukopa China sasa kwa mashariti ya kampuni zao kujenga huku 10% zikitembea vizuri kisa unaogopa kuolewa na mwanaume mwenzako.World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Miradi ya marekani ni kama abramtank inajina kubwa ila faida yake ni zero 😁😁😁😁😁😁😁😁😁Unaujua mradi wa power Africa?
Hata kama na yeye anafaidika ila still na sisi ametusaidia.Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa [emoji631] kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Sikusema china ni malaika ila marekani kadhihilisha upumbavu wake dhahili ...tizama mrussi kabomoa miji ya ukrai aliyoiteka na sasa ksijenga ila marekani hskuna nchi ksibomoa na kuijenga ikajengekaEndeleeni kukopa China sasa kwa mashariti ya kampuni zao kujenga huku 10% zikitembea vizuri kisa unaogopa kuolewa na mwanaume mwenzako.
Ujinga mtupu, ningeshangaa kama ushoga usingefika hapa.
Hivyo ndivyo invisible hand inavyofanya kazi katika uchumi, fanya kazi, acha kusubiri kupewa na kujengewa tu huku pia unadengua kuolewa na wanaume wa Marekani.Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Kwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Pesa wanazo toa marekani zinatumika kuwafanya viongozi kuwa vibaraka wao na pesa zinakwenda mifukoni mwao na kurudishwa kwenye benk zao ulaya ...wewe ujiulizi vipi viongozi wa africa wanaficha kwao kwenye mabenki yao.tatizo.lenu ni kushindwa kutambua mchezo unao fanyika na world bank na USAKwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
Mkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.Hayo marekani kaanza kuyafanya kwa sababu ya china..marekani anachukizwa sana na china kukubalika africa na kufanya miradi inayo mfanya akubslike kuliko 🇺🇸 ni janjatu ila siyo kutoka moyoni ....ndiyo maana watu wanamuona marekani ni muhuni tu hata madawa ya ukimwi ukiwa na akili finyu unaweza kuishukuru marekani ila kama una akili kuwa utailaani.watu wanashinda kujiuliza mbona dawa za ukimwi zinatolewa bure wao wanadhani ni upendo kumbe wangejua mchezo uliopo nyuma yake wenye akili kubwa dhidi ya muafrica na dunia,wasingume shukuru ..kuna magonja chungumzima kwanini ukimwi ?
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Wanatumia hiyo mifumo na mikopo kudhibiti africa isiweze kujikwamua kwenye umasikini ndiyo maana akija raisi makini wanamchukia na kumpiga vitaHivyo ndivyo invisible hand inavyofanya kazi katika uchumi, fanya kazi, acha kusubiri kupewa na kujengewa tu huku pia unadengua kuolewa na wanaume wa Marekani.
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.
Toka hapa kilazaWanatumia hiyo mifumo na mikopo kudhibiti africa isiweze kujikwamua kwenye umasikini ndiyo maana akija raisi makini wanamchukia na kumpiga vita
Ni kweli ila marekani ndiyo ina ajenda ya kulikwamisha bara la africa siyo tu wao wanufaike bali wanufaike na kulikwamisha barala afrika pamoja na kuakikisha africa inabaki kuwa na watu wachache kwa kadili iwezekanavyoMkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
ARV ni biashara hiyo.Huko barabarani kumejaa mabango ya barabara zilizojengwa kwa msaada wa watu wa Marekani, chanjo nyingi ulizopata ni kwa msaada wa watu wa Marekani, ARVs na condom ni bei rahisi kwa ufadhili wa watu wa Marekani, Hata unga wa Yanga wakati wa njaa ulitoka Marekani.
Bila US hao China wasingeweza kuruka na ndege kwa haraka kuja AfricaBila USA wewe usingekuwa unachat hapa
Ni kweli ila marekani ndiyo ina ajenda ya kulikwamisha bara la africa siyo tu wao wanufaike bali wanufaike a kulikwamisha barala afrika pamoja na kuakikisha africa inabaki kuwa na watu wachache kwa kadili iwezekanavyo
Bila nchi za asia maana kama siyo nchi za asia kuleta ushindani kwa mabeberu hadi leo kununua tv ingekuwa sawa na kujenga nyumbaBila USA wewe usingekuwa unachat hapa
Mnataka mjaliwe kwani nyie ni watoto yatima?! Kila taifa duniani linafanya jambo lolote kwa maslahi yake kwanza. Iwe msaada au mkopo ni kwa ajili ya maslahi yake ya uchumi, usalama, afya, uhamiaji, utalii n.kMkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
ARV ni biashara hiyo.
Walitaka kusubstitute na Covid ikabuma.
Ila hawachoki hayo mabeberu watakuja na lingine tu