Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kusaidiwa siyo tatizo tstizo ni mtu anaye kuja kama msaidizi kumbe ni adui ndiyo hao wakina WORLD BANK NA MABEBERU NA WAARABU NKHakuna ANAYEPENDA kusaidiwa Mkûu. NI kwamba mpaka kufikia Sasa hivi Waafrika tumeonyesha n kuthibitisha uwezo wetu wa Kufikiri NI Mdogo.
Zîpo nchi kibao hazifungamani na USA Maisha Yao yakoje?