Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Tumia akili
 
Kwanini tusaidiwe? Kwanini tusitumie resources zetu kupata pesa za kufanya maendeleo? Halafu AMKA USINGIZINI. Hakuna msaada wa bure chini ya jua.
Anaye hujumu hicho unacho kitamani ndiyo huyo USA kammwe usa 🇺🇸hataki taifa lolote la africa lijitegemee hivyo usemavyo ...ndiyo maana nikakuambieni kuwa USA 🇺🇸 ni adui
 
Misaada yote unayopewa na WB nk ana mkono wake. Ikiwa bajeti yako inategemea taasisi anazozifadhili vp haja kuendeleza. Unataka aku Pdidy
Tumia akili ingekuwa hiyo ni misahada kweli basi africa yote ingekuwa tajiri
 
unaichukulia poa USA
 
vitabu vingi vya mashuleni vina nembo ya usaid, oxford , macmillan aidan n.K
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Content ya uzi wako unaonyesha ww ni mvivu wa kupindukia ..nashauri usiwe mvivu hivyo
 
Tumia akili ingekuwa hiyo ni m8sahada kweli basi africa yote ingekuwa tajiri
Toka lini msaada ukakufanya ku2a tajiri. Hapo unasema nitumie akili hivi nani ambae hajatumia akili yake vzr hapa.
 
ni mpuuzi tu mwenye ujasiri wa kuisema vibaya USA,

kuna orodha ya misaada aliorodhesha Balozi kwetu ni lukuki
 
Bila uwepo wa USA, dunia ingekuwa uwanja wa vita. USA analeta balance kwenye mambo mengi mno
Aisee unaongea nini bro!?
*Vita mashariki ya kati chanzo USA.
*Vita Afrika magharibi chanzo USA.
*Vita Afrika ya kati na DR Congo chanzo USA.
*Mapinduzi na uasi katika serikali nyingi chanzo USA.
*Uharibifu Haiti chanzo USA.
*Kuharibika kwa Marshall/Bikini Island chanzo USA.
USA is the father of chaos in this world utake usitake.
 
Em zungumzia na mazuri yake afu upime na hayo mabaya yake.
 
Em zungumzia na mazuri yake afu upime na hayo mabaya yake.
Mazuri alofanya ni yapi kaka!?
Unapimia na hasara alizoleta duniani za kuangusha mataifa na kuanzisha vita za makusudi katika mataifa ili anufaike yeye!??
Kama Tanzania ni msaada gani vital or crucial USA kakusaidia kaka!?
 
Tanzania imekopa sana world bank, haya wewe umeolewa na nani?
 
Watu wanaichukulia Simple Marekani sababu hawana exposure au ni ignorant.

Marekani is too powerful to mess with...

Marekani akisema vita ya Ukraine iishe kesho inaisha... Akisema Ukraine achukue mikoa 5 ya Russia inachukua mwezi ujao...
 
Watu wanaichukulia Simple Marekani sababu hawana exposure au ni ignorant.

Marekani is too powerful to mess with...

Marekani akisema vita ya Ukraine iishe kesho inaisha... Akisema Ukraine achukue mikoa 5 ya Russia inachukua mwezi ujao...
Punguza ujinga acha mihemko ya kijinga.
Hivi unachukulia kiwepesi eti akisema Ukraine achukue mikoa 5 Russia anachukua!
Mbona alishindwa kuitetea Crimea toka 2014!??
 
Africa ya kusini

Nigeria

Ethiopia

Ghana

Morocco

Kenya

Hizo ni baadhi za nchi zenye ushirikiano na US 90%
Na hizo nchi zote zina umasikini wa kutupa na kufa mtu.
Hakuna hata moja yenye afadhali katika uchumi hapo.
Raia wao wana hali mbaya na ngumu.
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Hiyo choko naona anahisi Warusi wwatamtia kitu makalioni
 
Ndugu yangu hivi unajua kuwa madawa ya ukimwi ambayo kama zingeuzwa hakuna mtu ambaye angeweza kununua na miradi ya ukimwi na afya kupitia USAID ni bure na ni hao USA wanatoa au unaropoka bila kujua?
Yani misaada ya USA ya kuwalemaza kabisa.
Wewe una uhakika gani serikali ingeshindwa ku fund pesa za madawa ya ARV!?
Hivi unajua kuna matibabu ghali sana na serikali ina fund hadi sasa!?
Aisee kweli watu hamuna exposure.
 
Wewe ni kichwa maji kabisa.

Endelea kunywa wanzuki zako huko kijijini Madongo kuinama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…