Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tumia akiliUnafikiri kwanini dawa zimeadimika mahopitalini !!?Hadi Bima za afya Kwa watoto zikapigwa chini na ummy Mwalimu!!?
USA ndio wafadhili wakuu wa WHO wanaogawa dawa za afya Duniani kote!!
Sasa,Chawa na kiongozi wao walipoegemea Kwa waarabu na wao wakakata misaada kidogo Hali ndio ikawa hivyo!
Elim inafafadhiliwa na Europe tulipoa anaza mambo ya kiarabu na wao wakakata misaada ya kielim ndio maana fedha za elim bure zinakata mashuleni!!
Fiki