Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?
Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.
Kuna watu wanashauri kuwa Lissu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,
Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea. kufahamu kuwa Lissu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika.
Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za Lissu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio
Hivyo namshauri Lissu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.
Wanajua nani anakuwa attacked pale Lissu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera, hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.