Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Ni jambo linaloshangaza DUNIA.

Kweli kabisa Serkkali nzima, Polisi, Jeshi, Isalama taifa, wapelelezi wamekaa kimya kutokuwatafuta wahusika.! Haitoshi bunge halikujua alikokuwa Lissu! Malipo yake kanyanganywa na wahusika! Amerudi nyumbani. Waliokuwa wanamtafuta hadi leo hii KIMYA!! Yamaanisha wahusika wapo wanajielewa basi bora wajitokeze kupata maridhiano. Tanzania ni njema kuliko jana!
Kama aliyepigwa risasi ni mzima anabwatuka hapo hakuna kesi
 
..nadhani Polisi ndio wanaopiga danadana ktk suala hili.

..katika hili tuwabane Polisi wafanye kazi yao bila kujivuta-vuta.

..magaidi waliomshambulia TL wasipokamatwa wanaweza kushambulia Mtanzania mwingine.

..tusichukulie poa suala hili. pia tusifikiri kwamba linamhusu TL peke yake.
Polisi hawabigi danadana ila Tundu hajafuata taratibu na baya zaidi kwakuwa yuko hai haiwezekani kwa mtu mwingine kulalamika wakati mtendewa haoni umuhimu wa kufuata taratibu ili ahudumiwe kwa mujibu wa sheria za Jeshi la Polisi.
 
Polisi hawabigi danadana ila Tundu hajafuata taratibu na baya zaidi kwakuwa yuko hai haiwezekani kwa mtu mwingine kulalamika wakati mtendewa haoni umuhimu wa kufuata taratibu ili ahudumiwe kwa mujibu wa sheria za Jeshi la Polisi.

..Utaratibu ni kwamba jaribio la mauaji huchunguzwa bila kujali kwamba mhanga yuko hai au amekufa.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?

Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.

Kuna watu wanashauri kuwa Lissu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,

Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea. kufahamu kuwa Lissu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika.

Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za Lissu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio

Hivyo namshauri Lissu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.

Wanajua nani anakuwa attacked pale Lissu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera, hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.
Anatueleza kwani sisi ni polisi tutakaofanya uchunguzi
 
Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?

Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?

Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Hakuna hoja hapa CCM mnanuka damu za watu
 
Mie nafurahi sana kwa sababu linamtoa nje ya reli

Kutumia nguvu na muda mwingi kuzungumza risasi,linampunguzia lissu mvuto kwa wapiga kura.

Watu wanataka kujua atawasaidia vipi kuleta maisha Bora,habari za risasi washazisikia sana.

Lissu endelea baba na cd ya risasi
Wewe sio mpiga Kura wake ata angeongea sera atakupeleka mbinguni hautamuelewa
 
Sasa polisi wataanzia wapi nawakati nuhanga hataki ata kwenda kuripoti tukio lake ata kwa sungusungu?

Kila wakinwita jaamaa aende polisi wamchukue maelezo jaamaa yenu mzeee wa kiki anaingia nitini, anaogopa nini?

Kwakua Mungu alimponesha kifo jamaa yenu, akaenda kutibiwa na akarudi na amepona ilikuwa ni yeye na dereva wake basi walau wakatoe atamaelezo kiduchu polisi, ilituone kama polisi watapuuuzia kufuatilia tukio hilo, ndo watanzania tungekuwa na la kuwa laumu polisi.

Lakini jamaa yenu amiishia kulaum laum tuuu bila kuchukua hatua yoyote ilee.

Mbona walipomvua ubunge alienda mbio mahakamani kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge, iweje shambulio lile baya na lakutisha aogope kwenda kuripoti polisi?

Tupeni majibu kwanza.
Kuvuliwa kwake tu ubenge kuonaonyesha alifanyiwa uhuni
 
Back
Top Bottom