Sasa polisi wataanzia wapi nawakati nuhanga hataki ata kwenda kuripoti tukio lake ata kwa sungusungu?
Kila wakinwita jaamaa aende polisi wamchukue maelezo jaamaa yenu mzeee wa kiki anaingia nitini, anaogopa nini?
Kwakua Mungu alimponesha kifo jamaa yenu, akaenda kutibiwa na akarudi na amepona ilikuwa ni yeye na dereva wake basi walau wakatoe atamaelezo kiduchu polisi, ilituone kama polisi watapuuuzia kufuatilia tukio hilo, ndo watanzania tungekuwa na la kuwa laumu polisi.
Lakini jamaa yenu amiishia kulaum laum tuuu bila kuchukua hatua yoyote ilee.
Mbona walipomvua ubunge alienda mbio mahakamani kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge, iweje shambulio lile baya na lakutisha aogope kwenda kuripoti polisi?
Tupeni majibu kwanza.