Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Ni hao watesi wake. Kama ulitaka kumuua mtu halafu Mungu hakurusu, lazima ujisikie guilty. Kama wewe siyo muuaji hautajisikia vibaya kusikia mwanasiasa ama mtu mwingine yeyote aliyenusurika kuuawa akisimulia kisa chake. Sanasana utamwonea huruma.
 
Usiwe mjinga mkuu,hapo nani anatakiwa kumfuata nani?

Polisi wanatakiwa kwenda kumhoji mhanga au mhanga anatakiwa kumfuata polisi ili akahojiwe? (Kwa mujibu wa sheria yetu)
Kwahiyo polisi wamfuate muhanga ambaye hajalalamika popote?
Toka huyo muhanga wenu atimukie ugaibuni na kurudi si kila siku wakimwita mahakamani tuuu anatoa vijisabusabu tuuu?

Kama napo haopolisi wamekaa kimya, kwa nini haenda kuulizia atabasi kinachoendelea akaambiwa?
Anakwama wapiiii
 

Tangu lini kesi za jina zika jump Hadi mahakamani pasipo kupitia Polisi kwa uchunguzi.
Na wanaochunguza ni polisi.
 
Nyie endeleeni na mauaji tu, siku mtakuja kutembea mabarabarani Kama machizi!
 
Ukizungumza kwa uelewa wako unajiona uko sawa, lakini professionally inaonekana wewe ni mbumbumbuu mno!

Mtu akiuawa nani anahojiwa? Wauaji wanakuwa wamekwepa mkono wa sheria!
 
Uchaguzi wa mwaka huu Ni mwepesi sana,tunaonesha vitu tulivyofanya dhidi ya maneno matupu!


Vitu hivyo mlivyofanya mmetoa pesa zenu mifukoni mwenu???-- pesa ni ya umma na kufanya mambo hayo ni wajibu wenu na ndiyo maana tunawalipeni mishahara kama ujira wenu kwa kazi mnazotufanyia, nyie ni watumishi wetu.

Shida iliyopo mmekuwa kama miungu watu na viburi na jeuri imewashika kuwafanya waajiri wenu (wananchi) mabwege
 
Acha kujitoa akili kama vile utaratibu wa maswala ya ulinzi wa raia na mali zao unatakaje tukio la kihalifu au la kishambulizi linapotokea. Ni kazi ya polisi kujua na kuwakamata walioshiriki katika tukio hilo, kuwafanya wasiojulika wajulikane. Silaha zilizotumika ni za kivita, silaha ambazo haruhusiwi raia kumiliki zaidi ya vyombo vya ulinzi na usalama. Tukio limetokea na likaripotiwa kituo kikuu cha polisi mkoa Dodoma bado unasema mshambuliwa aende akaripoti? Is this sound mind proposing or?

Chuki hazisaidii zaidi ya kubomoa, sisi wote ni watanzania hatujazoea hulka za kushambuliana kwa risasi kweupe kisa siasa.
Ana uhuru wa kuongea popote asimamapo iwe jukwaani (ana kibari hiko maana ni presidential nominee) au mahali popote pale.

Kama ni njia yake ya kutafuta public sympathy kwenye kinyang'anyiro hiki sawa, that's his strategy towards his counterparts.
Wakujilaumu ni hao waliopanga mauaji yake alafu mission failed. Je, hamkujipanga kama ikishindikana mkabiliane nae vipi?

Let him hit the floor.
 
Kwani Lissu hakuongea kwamba anafuatiliwa na gari ili wamuuwe. Lissu alikuwaje shuhuda wakati alizimia.

Pili ushuhuda wa namna gani mnataka wakati wasiojulikana walimvamia na kumtwanga Risasi. Na analishuhudia hilo. mnataka awataje kwa majina? Hayo hayajui. Polisi ndiyo wakufanya hayo ili wasiojulikana wajulikane na wakamatwe.

Umaongea point sana mkuu,wa upande ule hakuna atakaye kujibu kwa logic zaidi ya mimatusi
 
Mbogo nyeusi,

Naunga mkono kwa 100%.

Kwanza na kwa umuhimu wa pekee, kupona kwake ni MUUJIZA toka kwa Mungu hivyo ni muhimu atoe ushuhuda na kumtukuza Mungu kwa makuu aliyomtendea.

Pili katika kipindi alichopitia, alihitaji maombi na misaada ya hali na mali na ilichangwa toka sehemu zote nchini hivyo ni vema akatoa shukrani kwa wote walioshiriki pamoja naye.

Tatu kama ulivyosema, ni muhimu kuweka hadharani mtiririko wa lile tukio na yaliyofuatia baada ya tukio (kunyimwa fedha ya matibabu, kuvuliwa ubunge nk) ili jamii ing'amue haikuwa bahati mbaya ni mpango ulio ratibiwa na waratibu wake ni kina nani.
 
Alafu kuna watu wanabeza anachofanya Lissu, sijui wana roho za aina gani!!
Wanaonesha kabisa wamejawa na inhumanity and unsound mind.
 
Alafu kuna watu wanabeza anachofanya Lissu, sijui wana roho za aina gani!!
Wanaonesha kabisa wamejawa na inhumanity and unsound mind.
Wenye hatia huwa wamejaa hofu, katika mazingira ya kawaida walio ratibu ule mpango wakimuona Lissu bado anaishi lazima wapate kiwewe.
 
Kwa sababu anajua Nani kampiga risasi halafu anafanya watu wote matahira waamini uongo wake. Ndio maana wengine hatupendi kusikia hiyo habari yake. Ingekuwa kuna mkono wa serikali wasingepiga risasi zaidi ya kumi miguuni hadi kiunoni wakati risasi moja ya kichwa ingemtoa roho, ni mpuuzi peke yake ndio angeamini hilo, ukichukulia wapo waliosomea kazi hiyo. Na mwenyewe wanajua hilo. Nitakuwa wa mwisho kuamini uongo huo.
 
Wenye hatia huwa wamejaa hofu, katika mazingira ya kawaida walio ratibu ule mpango wakimuona Lissu bado anaishi lazima wapate kiwewe.
Wamejawa na uoga kadri kampeni zinavyoendelea na support anayoipata Lissu. Wengine wanajiuliza incase akishinda akaviamuru vyombo vya ulinzi vya ndani vifanye uchunguzi au akaalika international investigators wenye weredi mkubwa kwenye maswala haya wataficha wapi sura zao? Hapa sasa unaweza kupata picha kwanini wanahujumu kadri wawezavyo kampeni zake ili watanzania wasikumbushwe na kumsikia muathirika wa tukio la kuogofya kama lile.

Mkuu no body has ever survived 16 bullets on earth. That was God's miracle na kwahilo tumwache ashuhudie na kumshukuru Mungu kadri apatavyo muda wa kufanya hivyo.
 
Neno hilo, subiri povu
 
Kesi za jinai huanzia polisi na si mahakamani, wenye jukumu la kufanya uchunguzi ni polisi na sio lissu wala mahakama. Jielimishe kidogo tu juu ya sheria
Polisi wakinyimwa ushirikiano kutoka kwa muhusika unataka wafanye nini zaidi, tusaidie mjuzi wa sheria.
 
Yaani hao uliowataja waache kazi za maana waanze kum bembeleza mtu aliyekataa kutoa ushirikiano, mbona chura mmoja tu angeweza kupata jibu la uhakika
 
Wakikupa nistue nipo kibanda umiza nafungua kinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…