Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.
Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.
Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.