Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Ukishazoea kula nyama ya mtu hutoacha utaendelea kula tu!!! Watu hao walitaman siasa za piga, uaa,tesa, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani ziendelee!!
Mwenye picha ile ya wanachama fulani wakimshambulia kada wa chama fulani kwa mawe pale Dodoma atuwekee hapa tafadhali.
 
Kama kweli hawa wote wanaobeza ni sukumagang basi wapo wengi sanakuliko wanaosifu jitihad za Mwenyekiti kumega kipande cha mkate
Wanuka damu, Wasiojulikana, WAHAFIDHINA, tabu na shida kwa wengine ndio ulikuwa msingi wa furaha yenu. Mmeumbuliwa na mama. Amewaonyesha kwa vitendo kuwa unaweza kuwa raisi bila kuua, kutisha, kuonea, kufunga wapinzani wako. Nawaambia, huyu mama akiendelea KUWAPUUZA ninyi WAHAFIDHINA. Atalifanyia makubwa taifa hili. Na historia yake itasomwa vema miaka na miaka.
 
Huwezi kula mapanki ukawa na akili.

Sukuma gang ni moja ya kundi la watu wenye low IQ, wasiojiamini, makatili na wasioitakia mema nchi yetu.

Falsafa yao ni kupambana na watu wenye maendeleo, kufanya jamii ya tanzania kuishi kwa hofu na kuishi kama mashetani ( sadist) wakati wao wakiiba mali na resources za nchi hii., (1.5 Trillions, Plea bargaining, ndege za mitumba etc)

Mkakati maalumu uwekwe kuwatoa kwenye nafasi zote za uongozi na kuhakikisha wao na vizazi vyao hawatasogea ata kwenye vibaraza vya uongozi

Kwakua mama anapitia nyuzi humu, ninamshauri aanzishe operation tokomeza sukuma gang, toa hizo takataka kwenye serikali yako.
Sukuma Gang is a persona used by nincompoops to escape reality that they don't want to catch up with.
 
Mwenye picha ile ya wanachama fulani wakimshambulia kada wa chama fulani kwa mawe pale Dodoma atuwekee hapa tafadhali.
Hiyo
20220117_181943.jpg
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Kuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
100% sahihi.
 
Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.

CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.

Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Mawakala wa ibilisi nyie .Mmeshindwa kwa Jina la Yesu.
 
Seems deliberately or by ignorance you are loosing touch with reality. It is a sad fact.
Not really but its a sad fact to see most of the literate guys like you can't get over what is now a histroy. Extreme discordance with the deceased won't make a change in your lives.
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Sawa kabisa Genge S ndio watu hatari zaidi kuliko hata CCM?
 
Back
Top Bottom