Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.

CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.

Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Dhamila kuu ya kushika dola ni kuondoa uongozi dharimu katili na usiojali ustawi wa nchi. Kama kiongozi aliyupo ni mzuri, kwanini tumuondoe kabla ya wakati wake kikatiba?
 
Kuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!
Maendeleo gani aliyotuletea magufuli zaidi ya kuaribu kila kitu? Kaaribu uchumi alioukuta unaanza kwenda vizuri, ameleta chuki baina ya watanzania na kuwafanya watu waishi kwa hofi ktk nchi yao
 
Maendeleo gani aliyotuletea magufuli zaidi ya kuaribu kila kitu? Kaaribu uchumi alioukuta unaanza kwenda vizuri, ameleta chuki baina ya watanzania na kuwafanya watu waishi kwa hofi ktk nchi yao
Ahahahahaha! Asiyeona haambiwi, tazama!
 
Unapoamua kuungana na watesi wako ambao bado wameshika fimbo ya kukuchapa hayo sio maridhiano bali kusalenda na kukubali kuwa umeshindwa vita......
 
Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.

CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.

Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Ndio maana amesema wajinga. Unadhani bila mazungumzo na maelewano kunaweza kufanyika uchaguzi huru na mwingine zaidi ya aliyeko madarakani kushinda?
Samia akifanya ya Dikteta Magufuli uchaguzi 2025 unakuwa kama ule uchafuzi wa 2020 mtafanya nini wakati ana jeshi na ana polisi?
Wacha wazungumze na huo ndio ujanja. Au mlikuwa mnataka vita ndio mmeona njia ya kuitoa CCM?
 
Not really but its a sad fact to see most of the literate guys like you can't get over what is now a histroy. Extreme discordance with the deceased won't make a change in your lives.
Truth must be told, no stone will be left unturned.

I am beyond literacy, larger than life, been there done that.

Deceased and you his puppet are disgrace to the civilization.

Whoever stand with a tyranny is an enemy of the humanity.

Today you have exposed your unquestionable dumbness
 
Truth must be told, no stone will be left unturned.

I am beyond literacy, larger than a life, been there done that.

Deceased and you his puppet are disgrace to the civilization.

Whoever stand with a tyranny is an enemy of the humanity.

Today you have exposed your unquestionable dumbness
I'm flabbergasted on how a larger than life kind of guy would be arguing on such a topic with what he calls a dumb. Hate is a free plate for envious souls like you we used to that.
 
I'm flabbergasted on how a larger than life kind of guy would be arguing on such a topic with what he calls a dumb. Hate is a free plate for envious souls like you we used to that.
Nothing to do with hate or envy, truth must be told, the deceased and his gang, inflicted so much pain and sufferings to certain targeted good citizens.

He was criminal and so the rest of his crew. As a nation, we must stand united to speak out the truth, uncover his dirty actions, and heal the wounds of those persecuted.

unfortunately, you sukuma gang, the beneficiaries of proceeds of crimes and atrocities of 5th regime mnataka tukae kimya?

Show me 1.5 Trillion, hela za plea bargain, Ben Saanane, Azory etc, dont pretend like you dont know
 
Asiyefurahishwa na maridhiano atakuwa ana shida zake binafsi.
Maridhiano ni jambo muhimu, siasa zetu zisiwe chachu ya machafuko huko baadae.
 
Ukishazoea kula nyama ya mtu hutoacha utaendelea kula tu!!! Watu hao walitaman siasa za piga, uaa,tesa, wape kesi za uhujumu uchumi, Weka magerezani ziendelee!!
Ambazo hazikuwahi kuwa siasa zetu Tanzania. Hayo yako nchi jirani ila sio kwetu, ni mageni
 
Not really but its a sad fact to see most of the literate guys like you can't get over what is now a histroy. Extreme discordance with the deceased won't make a change in your lives.
Perfectly said
 
Hisia zenu tu, ila CCM watatawala muda mrefu sana. Chadema sio tishio tena, tishio lao ni migogoro ya ndani na sasa Chadema ndio inasaidia kupoza hizo internal bleeding! Shortly 2025 ni uhakika kwa CCM then watajipanga kivingine huko mbele.

Nimesoma ujumbe wa balozi Nchimbi kupongeza haya maridhiano lakini ukisoma katikati ya mstari hiyo amani ya miaka 100 mbele ni CCM kutawala muda mrefu.

Alafu maridhiano nenda mtaani uwaulize wananchi hayo maridhiano ni nini? Yanawagusa nini? Purely ni wanasiasa wachache wanaotaka kuaminisha Taifa linahitaji maridhiano! Imagine haya angefanya Zitto na ACT! Zitto angebeba matusi yote na kuitwa CCM B.

Ndio maana inanipa hofu hata haya mambo ya katiba yakibebwa na wanasiasa tena hawahawa! Tutapata katiba yenye maslahi ya kisiasa tu hasa tume huru.

Ukimsoma mzee Bubelwa na safari ya upinzani hadi leo pamoja na mapito yao, utaelewa title ya andiko lake ndio kifupisho cha future ya siasa zetu za upinzani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Dhamila kuu ya kushika dola ni kuondoa uongozi dharimu katili na usiojali ustawi wa nchi. Kama kiongozi aliyupo ni mzuri, kwanini tumuondoe kabla ya wakati wake kikatiba?
Hii nchi Kuna wajinga wengi sana.
Ni mwizi na fisadi TU ndie atakaesema kuwa upngozi wa Samia ni mzuri
 
Back
Top Bottom