Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Ingawa ni kweli wapo wana-ccm wasiopenda mwwnendo wa chama kwa kuamini kuwa unaimarisha upinzani, wengi wa watu wanaopiga kelele na kukejeli jitihada za maridhiano siyo wafuasi wazalendo wa chama hicho. Baadhi ni wapigania maslahi binafsi na wengine wengi zaidi ni wafuasi wa vyama vya upinzani waliochukizwa na mazungumzo hayo yanayoonekana kuhusisha vyama viwili tu.
 
Hawa wahafidhina katika CCM ni kina nani? Kwani Mama si aliwatimua? Kumbe bado wapo!!
 
maridhiano bila kuambiwa walipo jamaa zetu Azory Gwanda, Ben Saanane na wengineo ?. Uhai wa mtu thamani yake hailezeki
Mbona mwenyekiti wenu mbowe anajua? Wote hao habari zake anazo mbowe mnaogopa nini kumuuliza?
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Maridhiano gani?unaelewa maana ya Maridhiano?hao Wana RIDHISHANA na siyo KURIDHIANA.
Maridhiano yanafanyika kwenye mataifa yenye machafuko ya kisiasa kama South Sudan,sasa huyo Bibj na Mbowe wanaridhiana nini?
 
Wewe ni bongo lala au wale WAHAFIDHINA ndani ya ccm.

Watanzania wangapi wamepoteza maisha kisa hizo siasa zenu za chuki?

Watanzania wangapi wamepata vilema kisa hizo siasa zenu za chuki?

Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa waliokuwa wanatesa watu wasiyo na hatia.

Hata ukikataa au kubeza haya maridhiano hautaweza kutakwamisha wewe sheitwan
 
Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.

CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.

Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Mkuu kama naweza kuuliza: wewe uko upande gani?!
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
wasiishie kuchukia tu wafe kabisa.
 
'Sumuma Gang' is a myth used by idiots to dismiss what they don't want to hear.
Sukuma gang is a real tyrannical group that engineered arbitrary killings and shooting innocent citizens with intent to achieve illegal political and economic gains headed by a dead fascist burried at chato, the truth that lunatics and imbeciles do not want to hear.
 
Duuh reference ya hii definition ni wapi.
 
Kwa kweli wale wanaochukia na kubeza watu waliokuwa maadui kiasi cha kuwindana ili wauane kuushia kupatana na kusameheana, hakika hao si tu wajinga bali ni wapumbavu sana tu..!!
1678355034165.png
1678355081637.png

1678355121246.png
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Hakika.
 
Maridhiano gani?unaelewa maana ya Maridhiano?hao Wana RIDHISHANA na siyo KURIDHIANA.
Maridhiano yanafanyika kwenye mataifa yenye machafuko ya kisiasa kama South Sudan,sasa huyo Bibj na Mbowe wanaridhiana nini?
Acha kumwita Rais Bibi. Shika adabu yako.
 
Mimi labda niulize wanaridhiana kitu gani? Kuridhiana ni compromise kati ya pande mbili kwa maana ya huyu anapata hiki na yule anapata kile ili kifikia common ground. Mbona makubaliano ya walichoridhiana hayawekwi hadharani?
Kuna misingi ya maridhiano na kanuni zake. Sio issue ya kukurupuka na kuka kwenye Majukwaa.
 
Back
Top Bottom