Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

Nothing to do with hate or envy, the deceased and his gang, inflicted so much pain and sufferings to certain targeted good citizens.

He was criminal and so the rest of his crew. As a nation, we must stand united to speak out the truth, uncover his dirty actions, and heal the wounds of those persecuted.

unfortunately, you sukuma gang, the beneficiaries of proceedings of crimes and atrocities of 5th regime mnataka tukae kimya?
Hold up for a second, i ain't Sukuma gang and i have never been so. I was just moved by the late presidents philosophies.

Sorry if you had to endure his impactful leadership mode of operand but again he never did it for the circus.
 
Maendeleo gani aliyotuletea magufuli zaidi ya kuaribu kila kitu? Kaaribu uchumi alioukuta unaanza kwenda vizuri, ameleta chuki baina ya watanzania na kuwafanya watu waishi kwa hofi ktk nchi yao
We jamaa utachekwa sana. Hivi alieipeleka Tanzania uchumi wa kati ni nani? Na ni nani alieishusha kutola uchumi wa kati?
Alipokufa kaacha akiba ya pesa za kigeni kibao na sasa zinapungua kila kukicha.
 
Hii nchi Kuna wajinga wengi sana.
Ni mwizi na fisadi TU ndie atakaesema kuwa upngozi wa Samia ni mzuri
Nilichogundua watanzania wote sio wajinga ila kuna niche flani ambayo iko influential hii ndio inataka kuwafanya watanzania wote mbumbumbu.

Wanafikiri kuwa uongozi usiosimamia vyema rasilimali na utendaji ndio uongozi mzuri. Hii ni ku backup uvivu walio nao hao watu pamoja na channel za kufanya hujuma.
 
Sio dongo huo ni Utani wa jadi maana Mbowe alishampiga Dongo wakati wa hotuba ya mwanzo kuwa wanataka kumtoa 2025. So alikuwa anajibu😅😅
Mbowe alimpiga dongo kivipi; kwani hawana mpango wa kumtoa kumbe no madongo tu.
 
Hold up for a second, i ain't Sukuma gang and i have never been so. I was just moved by the late presidents philosophies.

Sorry if you had to endure his impactful leadership mode of operand but again he never did it for the circus.
Motives, however good, cannot justify crimes.

A man or woman occupying the highest office should be guided by the rule of law

It is so unfortunate, in all conceivable senses, to have a tyranny praised by the very people he was oppressing.

Wonders shall never cease
 
maridhiano bila kuambiwa walipo jamaa zetu Azory Gwanda, Ben Saanane na wengineo ?. Uhai wa mtu thamani yake hailezeki
 
Motives, however good, cannot justify crimes.

A man or woman occupying the highest office should be guided by the rule of law

It is so unfortunate, in all conceivable senses, to have a tyranny praised by the very people he was oppressing.

Wonders shall never cases
Guess what, your Lady president giving you a lot of room to play though. Doing all that shit for the circus just trying to look different from all the gang members of the rulling party. At the end of the day, thugs will always be thugs!!!
 
Mataga CCM ikitawala milele si ndio furaha kwako?!
Hisia zenu tu, ila CCM watatawala muda mrefu sana. Chadema sio tishio tena, tishio lao ni migogoro ya ndani na sasa Chadema ndio inasaidia kupoza hizo internal bleeding! Shortly 2025 ni uhakika kwa CCM then watajipanga kivingine huko mbele.

Nimesoma ujumbe wa balozi Nchimbi kupongeza haya maridhiano lakini ukisoma katikati ya mstari hiyo amani ya miaka 100 mbele ni CCM kutawala muda mrefu.

Alafu maridhiano nenda mtaani uwaulize wananchi hayo maridhiano ni nini? Yanawagusa nini? Purely ni wanasiasa wachache wanaotaka kuaminisha Taifa linahitaji maridhiano! Imagine haya angefanya Zitto na ACT! Zitto angebeba matusi yote na kuitwa CCM B.

Ndio maana inanipa hofu hata haya mambo ya katiba yakibebwa na wanasiasa tena hawahawa! Tutapata katiba yenye maslahi ya kisiasa tu hasa tume huru.

Ukimsoma mzee Bubelwa na safari ya upinzani hadi leo pamoja na mapito yao, utaelewa title ya andiko lake ndio kifupisho cha future ya siasa zetu za upinzani.





Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Guess what, your Lady president giving you a lot of room to play though. Doing all that shit for the circus just trying to look different from all the gang members of the rulling party. At the end of the day, thugs will always be thugs!!!
Mwache mama apige kazi.
 
wnanao kasirika mbowe kulamba asali wako sahihi, maana hata jela alienda pekeake hukwenda naye, mali zilizoharibiwa ni zake sio zako, hvyo acha afute machungu aliyopitia pekeake huku wewe ukiwa nyumbani na mkeo. yaan aumizwe pekeake halafu asali akuletee na wewe? kama ni rahis hvyo nawewe ingia kwenye siasa ujitafutie asali yako na wanao, JEALOUS WILL KILL YOU.
 
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.

Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.

Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.

Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.

View attachment 2542388
Hivi ni maridhiano ya nini sasa? Kuna siku atawaambia haya chukueni nchi muongoze? Maridhiano yenye faida gani? Mwisho wa siku unaowasifu wote watahamia CCM na utakuja na mada nyingine inayosema wamewanunua na Chadema imepoteza muelekeo, wapenzi wa vyama vya siasa hamjuagi kama Siasa ni mchezo na hao wanaojiita wapinzani ni wachumia tumbo na si waterezi wa wananchi, ni njaa zinawasumbua. Mpinzani wa kweli ni mtu mbaya sana sana kwenye nchi maana yeye ni lazima awe Muasi, huyo ndiyo mpinzani, hawa wanaoenda Ikulu kunywa juice wanataka nafasi za uongozi ili wale, hawana lolote la maana, iacheni hiyo hiyo CCM iongize miaka yote, hakuna chama kinaweza zaidi ya CCM na huyo mnayeponda JPM ndiyo aliyekua mpinzani wa kweli, na aliwayendea haki wananchi, kama umejisahau nenda kwenye clip zake ujikumbushe.
 
Maridhiano yalianza toka enzi za Maalim seif kuwa makam wa rais. Na nyie mlibeza pia jitihada hizo. https://jamii.app/JFUserGuide MSOGA GANG
 
Back
Top Bottom