WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Maendeleo gani uliyapata wewe?Kuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo gani uliyapata wewe?Kuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!
Tanzania hatujawahi kuwa na vita vya kichama,kikabila,kikanda labda wamu ya tano ilitaka kuleta hiyo hali mpaka Mungu akaingilia kati kwa sababu tunapoimba wimbo wa Taifa huwa tunasema ,"Mungu ibariki Tanzania",yule mrundi alitaka kutuletea ya kwao Mungu akasema no.Unapoamua kuungana na watesi wako ambao bado wameshika fimbo ya kukuchapa hayo sio maridhiano bali kusalenda na kukubali kuwa umeshindwa vita......
Chini ya ccm ilioyowekwa na mwendazake.Mashtaka dhidi ya mbowe yalifunguliwa mwaka upi na chininya uongozi wa nani? Wajinga ni nyinyi mnaoona hii nchi kila kitu kinawastahili na msikosolewe mnaanza ita watu sukuma gang.
Neno vita limetumika kama lugha ya picha.... nilikuwa namaanisha vita za kihoja katika kuwatetea wanyonge dhidi ya dhalimu serikali ya CCMTanzania hatujawahi kuwa na vita vya kichama,kikabila,kikanda labda wamu ya tano ilitaka kuleta hiyo hali mpaka Mungu akaingilia kati kwa sababu tunapoimba wimbo wa Taifa huwa tunasema ,"Mungu ibariki Tanzania",yule mrundi alitaka kutuletea ya kwao Mungu akasema no.
Leo Chadema wanafanya mikutano nchi nzima,leo hii kuna Utanzania na si Uccm au Uchadema.Mimi labda niulize wanaridhiana kitu gani? Kuridhiana ni compromise kati ya pande mbili kwa maana ya huyu anapata hiki na yule anapata kile ili kifikia common ground. Mbona makubaliano ya walichoridhiana hayawekwi hadharani? Kila upande una-gain nini katika hili? Je ni kwa manufaa ya wanachi au wanasiasa waroho wa madaraka na mali? Maana tukisema ni maridhiano ya vyama vya siasa sasa mbona ni chadema peke yake? Zamu ya vyama vingine vya upinzani kuridhiana ni lini? Mwisho nimalizie kwa kusema wanadamu wakipanga na Mungu nae hupanga. Mnaungana kuhakikisha mnaendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania halafu mnapongezana na kuita maridhiano. Tutaona mwisho wenu, muda si mrefu ujao.
Ukweli ndiyo huo.Ingawa ni kweli wapo wana-ccm wasiopenda mwwnendo wa chama kwa kuamini kuwa unaimarisha upinzani, wengi wa watu wanaopiga kelele na kukejeli jitihada za maridhiano siyo wafuasi wazalendo wa chama hicho. Baadhi ni wapigania maslahi binafsi na wengine wengi zaidi ni wafuasi wa vyama vya upinzani waliochukizwa na mazungumzo hayo yanayoonekana kuhusisha vyama viwili tu.
Ukweli ndiyo huo.Ingawa ni kweli wapo wana-ccm wasiopenda mwwnendo wa chama kwa kuamini kuwa unaimarisha upinzani, wengi wa watu wanaopiga kelele na kukejeli jitihada za maridhiano siyo wafuasi wazalendo wa chama hicho. Baadhi ni wapigania maslahi binafsi na wengine wengi zaidi ni wafuasi wa vyama vya upinzani waliochukizwa na mazungumzo hayo yanayoonekana kuhusisha vyama viwili tu.
Vyama vya siasa nchi hii ni ccm na chadema tu? Waliozuiliwa kufanya mikutano ni chadema tu? Acheni ukanjanja nyie kutufanya watu wote wajinga. Nyie ridhishaneni tu na gawaneni hizo pesa za kunyamazishana ila mafuriko huwezi kuyazuia kwa mikonoLeo Chadema wanafanya mikutano nchi nzima,leo hii kuna Utanzania na si Uccm au Uchadema.
Inapendeza sana au inaudhi sana?Vyama vya siasa nchi hii ni ccm na chadema tu? Waliozuiliwa kufanya mikutano ni chadema tu? Acheni ukanjanja nyie kutufanya watu wote wajinga. Nyie ridhishaneni tu na gawaneni hizo pesa za kunyamazishana ila mafuriko huwezi kuyazuia kwa mikono
Miaka michache ijayo ntakuquote kukuuliza swali hilihili.Inapendeza sana au inaudhi sana?
Haya bwana.Miaka michache ijayo ntakuquote kukuuliza swali hilihili.
Kwa tume ipi? Ni kheri tukose Dola tupate katiba mpya itaokoa mengi mbeleni. Kma CCM haikuanguka 2015 unadhani kwa tume hii hii Samia angeangushwa?Naona Uzi umedoda; mjinga au mpumbavu ni yule anaeacha dhamila ya kushika Dola kwa kulambishwa asali.
CHADEMA kama mgekuwa na akili hii ndio awamu mgejinyakulia nchi kutoka Kwa huyu mama.
Yaani kwa kifupi mmetema bigG kwa karanga za kuonjeshwa.
Ni Jambo gani umewahi kufanya kuthibitisha uzalendo wako zaidi ya kulaumu wanaojitahidi kujenga Tanzania bora zaidi?Mzalendo
Maendeleo ya kupiga risasi wananchi wakeKuna maridhiano au kuna ulaghai wa kisiasa? Usingemtarajia Mwamba Magufuli kufanya mambo ya kitoto badala ya kuwaletea Watanzania maendeleo!
Unatakiwa upimwe akili wewe. Kila kukicha wanakopa na kuiba pesa wewe unasema wanajenga Tanzania bora.Ni Jambo gani umewahi kufanya kuthibitisha uzalendo wako zaidi ya kulaumu wanaojitahidi kujenga Tanzania bora zaidi?
Kwa hiyo umejisikia vizuri baada ya kuwaita wajinga? Then?Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.
Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.
Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.
View attachment 2542388
Wanabodi,Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA.
Kutokana na Rais Samia kukubali suala la maridhiano ni dhahili wafuasi wa "Sukuma gang" wamechukizwa sana kuona Rais Samia kaweza na ndio maana wameanza kuwakejeli CHADEMA na viongozi wake binafsi nawaita ni wajinga wanaobeza maridhiano.
Wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 wote ni mashahidi shida tabu mateso mauaji kufungwa kwa kesi za uongo mpaka Mbowe kupewa kesi ya ugaidi walitendewa CHADEMA leo Rais Samia kaamua kukubali kufanya maridhiano na wahanga wa mateso ya utawala wa awamu ya 5 wanatokea wajinga wachache wanayabeza maridhiano hakika kuna watu wanafurahia mateso ya watu wengine.
Mimi nawaita wanaobeza maridhiano ni wajinga.
View attachment 2542388
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hapa nakuunga mkono!.Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.