Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya jibu hojaSawa napokea
Andiko lake limejaa ulaghai. Anaonesha namna anavyomtumikia anayemteteaPamoja na mapenzi yako makubwa kwa 'Kamanda' Mbowe kitu kimoja tu umezidisha chumvi ni kusema Mbowe ni Kijana. Kama sikosei Mbowe ana miaka 62. Sasa kumuita mtu wa miaka 62 kijana ni mapenzi yaliyopitiliza na ninaweza kusema ni kumkosea heshima.
Uenyekiti wa mbowe mbona fisiemu unawatoa kamasi hivi?Msisingizie ccm katika hili kwanza msigwa alichelewa kutoka wenzie walitoka muda mrefu maana walikuwa waishamshitukia chama alikabidhiwa na akina mzee mtei ndio maana hataki challenge akiamini ni cha kwale unadai democracy nje huku ndani ya chama chako huitaji democracy? Why? Kila anaye furukuta anaambulia zahama mfsno chacha wangwe, zitto, lidu pia hebu km anapendwa aruhusu hiyo nafasi kugombea na wengine aone hule muhuni tu bwana anapewa hela na ccm anakula anakoswa msimamo leo lisu ni wa kusimama juu ya meza kwa ngazi za tofali? Hakuna jukwaa? Anakodi gari? Kweli? [emoji1787][emoji1787]
Halafu yeye abaki na naniHao wanaomtuhumi Mbowe siwaondoke kama mchungaji?
Hapo lazima niwataje covid na mchungi wa kondooHabari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.
Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania
Sababu ni kwamba Mbowe umri wake ni mkubwa!! Maajabu haya!
Wengine wanajaribu kuwagombanisha mbowe na Katibu wake mnyika ati amesusia kazi za ukatibu!
Kimsingi hizo hoja hazina nguvu,
Tujifunze hata kwa wenzetu leo Buden anawania urais kwenye Taifa kubwa kama marekani.
Buden ukimwangalia ni mkubwa sana kwa Mbowe
Lakini kwa marekani sio hoja.
Mbowe bado ni kijana anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania.
Tujiulize wapenda demokrasia hapa nchini ni kwanini watawala hawamtaki Mbowe
Mpaka wanafikia hatua ya kuwarubuni
Watu wamhujumu Mbowe?
Jibu ni moja kamanda Mbowe ni mpinzani halisi.
Tutaona mengi safari hiiHabari wana JF

Mafisi wanakinyemelea wakitafune na mifupa yake yote🤭Trust me,huyo mwamba akikiacha chama ndo mwanzo wa chadema kupotea katika medani za siasa,moja ya point ya huyo mwamba kukitunza hicho chama ni kwakuwa muasisi ni baba yake
Fact mkuu.Iwapo akina Msigwa na wengineo wananunuliwa kirahisi sembuse Mbowe amkabidhi mtu mwingine Chama, CCM watakiua mara moja na deep state yao, bado mifumo yake hailindwi na chochote kama ccm inayolindwa na dola na ni chama dola vilevile. Mbowe watch out. Bora uwaachie urais wagombee siyo uenyekiti.
Mchaga mwenzie ww!!?Habari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.
Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania
Sababu ni kwamba Mbowe umri wake ni mkubwa!! Maajabu haya!
Wengine wanajaribu kuwagombanisha mbowe na Katibu wake mnyika ati amesusia kazi za ukatibu!
Kimsingi hizo hoja hazina nguvu,
Tujifunze hata kwa wenzetu leo Buden anawania urais kwenye Taifa kubwa kama marekani.
Buden ukimwangalia ni mkubwa sana kwa Mbowe
Lakini kwa marekani sio hoja.
Mbowe bado ni kijana anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania.
Tujiulize wapenda demokrasia hapa nchini ni kwanini watawala hawamtaki Mbowe
Mpaka wanafikia hatua ya kuwarubuni
Watu wamhujumu Mbowe?
Jibu ni moja kamanda Mbowe ni mpinzani halisi.
Ni kibara wa SS emChama linahubiri demokrasia lakini miaka nenda rudi mwenyekiti ni yule yule
Mimi napinga maana mbowe ni Ruba na king'ang'a a.k.a kigandoHabari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.
Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa chama hicho kikuu cha Upinzani Tanzania
Sababu ni kwamba Mbowe umri wake ni mkubwa!! Maajabu haya!
Wengine wanajaribu kuwagombanisha mbowe na Katibu wake mnyika ati amesusia kazi za ukatibu!
Kimsingi hizo hoja hazina nguvu,
Tujifunze hata kwa wenzetu leo Buden anawania urais kwenye Taifa kubwa kama marekani.
Buden ukimwangalia ni mkubwa sana kwa Mbowe
Lakini kwa marekani sio hoja.
Mbowe bado ni kijana anatufaa kuendelea kuongoza upinzani hapa Tanzania.
Tujiulize wapenda demokrasia hapa nchini ni kwanini watawala hawamtaki Mbowe
Mpaka wanafikia hatua ya kuwarubuni
Watu wamhujumu Mbowe?
Jibu ni moja kamanda Mbowe ni mpinzani halisi.
Toa usenge wako hapa hivi nyie watu mnafikiri kwa kutumia makalio?Habari wana JF

Kwani mwenyekiti wa mafisiem ana age ngapi!?Ni haki ya kikatiba shida iko wapi?
Kijana kwa data za UN mwisho ni miaka 35.
Mwenyekiti ni above 55 ni Baba na Babu sasa ukijana uko wapi hapa!
Punguzeni porojo!
Akitoka kulamba asali ikulu ndiyo anawadanganyia nyumbu haya manenoUhai wa chama kile kwa sasa ni Mbowe.
Japo wapo wengi wanaweza kuwa viongozi ila wamegundua pindi mbowe akitoka tu n rahisi kukisambaratisha.
Yule ni mtu haswa. Nkisema mtu namaanisha kweli
Hilo n kundi la watu wenye nia ya kuona chama kinakufa au kukosa nguvu